Robbie Savage alikuwa anacheza mpira wa rafu sana akiwa na Blackburn yake.charlie savage ni mtoto wa robbie savage. robbie alilelewa na man utd kupitia class of 92 na mtoto wake ni miongoni mwa vijana watakaokuwepo kikosini.
sasa hii inanichanganya, mi nilidhani tatizo ni mfumo kumbe ni wachezaji?Viungo wetu ni dhaifu asema bosi kwa hiyo usajili haukwepeki View attachment 2039536
Hizo sura za Waingereza ndiyo zinaharibu hapo.Viungo wetu ni dhaifu asema bosi kwa hiyo usajili haukwepeki View attachment 2039536
Timu inapoteza mipira saana ,afu ikikitana na timu inayo fanya mashambulizi ya kushitukiza na forward zilizo tulia timu inapigwa nyingiGengenpressing tutaelewana tu taratibu wapinzani watatapikia uwanjani
Hawa waende tu. Ongeza Jesse Lingard, Nemanja Matic, Phil Jones na Juan Mata.Martial ameshindwana na kasi ya team, ameamua kurusha taulo kutafuta changamoto sehemu nyingine......
Next pogba....
United limebaki jina tu msee ....."Erling Haaland will take the next step. Bayern, Real, Barcelona, Man City - these are the big clubs he can join. Man City won the PL five times, significantly more than Man United. When we moved to BVB, we all knew that this step would come".......
Raiola ametuponda kiasi kwa kutuingiza kwenye kauli yake kuhusu Haaland....je hii inamaanisha nini?
Je, man u hawajampa pogba mkataba so raiola amemynd sababu alitegemea tuzame kwenye mtego wake?
Je, man u wamempa pogba mkataba mdogo [sawa na huu wa sasa] hivyo raiola amemynd?
Je, raiola anaitaka man u ipush kwa nguvu kufanikisha usajili wa Haaland ili apate cha juu?
Au man u wameziba milango yote ya mirija kwa raiola kuanzia kwa pogba hadi haaland??
Watajijuaga wenyewe Pogba, Raiola na Haaland.....kibiashara Haaland ni mtu mdogo sana tungeweza kumboost akapata fame tofauti na City ambako nahisi anaelekea
Martial & Pogba should be released. they have been a failure at man utd, they need an opportunity to advance their career somewhere else, their exist should be a win win move for both parties.Kumeanza kuwa na tetesi za swap deal la Martial na de jong sababu wote wapo sokoni.....
Inawezekana ni tetesi tu