Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Tumejipanga na tunaendelea kujipanga. Kwa hii mikakati ubingwa unanukia View attachment 2035301
Hii taarifa sio kweli. Locomotive Moscow hawakuwa mabingwa wa Urusi msimu uliopita (Zenit). Zenit amechukua kombe miaka mitatu mfululizo (2019, 2020, 2021).wanadai hakuna kitu amefanya na walikuwa wanamvumilia sababu aliwatengenezea mazingira ya kumuamini kwamba atakuwa nao kwa muda mrefu kuhakikisha mfumo huo unazaa matunda kama ambavyo ilionekana itachukua muda mrefu kwa sababu ya failure kubwa aliyowafanyia kwa kusababisha timu kutoka bingwa msimu aliopita wakati hayupo mpaka nafasi ya tatu baada ya ujio wake.
Hizi habari hazina ukweli wowote mkuu, Ralf hajakaa Locomotive muda mrefu kiasi hicho, na hâta hivyo hakuwakuta wakiwa mabingwa kama taarifa yako inavyosema.Jamaa wa locomotive huko Urusi wanadai Raff ni Fraud na amewaharibia timu yao, wanadai hakuna alilofanya zaidi ya kuigeuza timu kuwa ya kusajiri na kuuza wachezaji kwa ajiri ya kukidhi vigezo vya mfumo wa mpira ambao wanadai sio realistic sana sana ni mfumo wa kwenye key boards za computer.
Ndio wafahamu manchester united ni timu kubwa, story yeyote inayoiusisha utd inapata coverage kubwaSijui ingekuaje kwenye media bwana Grealish angesajiliwa kwa £100M na Man Utd afu hadi sasa kafunga goli 1 na assist 2.
Kusema ukweli sijawahi mkubali Grealish kabisa. Bora hajaja kwetu kabisa.Sijui ingekuaje kwenye media bwana Grealish angesajiliwa kwa £100M na Man Utd afu hadi sasa kafunga goli 1 na assist 2.
kashndwa lig ya canada et ubingwa iv nyumbu akili uwaga mnapelekaga wap
Sent using motorola 78
Timu ndogo bhana...yaani Grealish(£100m) media hazina habari nae..lakini Sancho wetu sasa.Sijui ingekuaje kwenye media bwana Grealish angesajiliwa kwa £100M na Man Utd afu hadi sasa kafunga goli 1 na assist 2.
grealish amezidiwa na gray wa everton aliyenunuliwa kwa paundi million 1.5Timu ndogo bhana...yaani Grealish(£100m) media hazina habari nae..lakini Sancho wetu sasa.