Hizi mechi zote tutashinda, Ole katuharibia sn timu mpuuzi yule.View attachment 2034302
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi Naona Bado United Tunamuhitaji Pogba Ukimtoa Bruno Hakuna Midfielder Mwingine Mbunifu Uwanjani Na Kupiga Pasi Za Maana Kama Yeye.Pogba ni mchezaji wa kawaida ila amebahatika kupata jina kubwa tatizo kubwa la Pogba hana consistence leo kacheza vizuri kesho kacheza ushwa yani anaweza mechi tano acheze vizuri the rest ni utumbo .. mchezaji ambaye hana consistence namuita wakaida tu .wanao mtetea wanamkinga team ya taifa wanasema anafanya vizuri ni kweli sikatai lkn tujiulize team yataifa anakuwa akicheza dk ngapi au mechi ngapi utangundua ni mechi tano hazizidi hata 15 ambazo hata united anacheza anaperform msimu umeanza kapiga assist kama 5 mechi za mwanzo the rest ni utumbo abadilike awe world class siyo world class ya maneno mengi na ujanja Mwingi
Hatukufanya makosa kumuachia Herrera au mchezaji yoyote yule, ukisema hivyo maana yake mtu kama Ronaldo ilikuwa makosa kumuuza.Tulifanya Makosa Kumuacha Herrera Kwa Kazi Alokuwa Akifanya Uwanjani, Wasirudie Tena Hilo Kwa Pogba Timu Yetu Bado Kwakweli, Tunahitaji Watu Zaidi Kurudi Zama Zile.
Kwa Ander Mi Naona Ni Kosa Kwasababu Ndo Kwanza Midfield Yetu Inasusua Mpk Leo Kukaa Sawa, Bora Alivokuwepo Herrera Kulikuwa Na Uhai Kidogo Kwenye Midfield.Hatukufanya makosa kumuachia Herrera au mchezaji yoyote yule, ukisema hivyo maana yake mtu kama Ronaldo ilikuwa makosa kumuuza.
Mchezaji akitaka kuondoka aondoke tu, hii kushawishi wachezaji ambao wanaonyesha wazi nia ya kusepa kwa kuwapa mishahara minono ndiyo sababu ya kuwa na wachezaji ambao hawana motisha kuipambania timu.
Pogba ana uwezo kuliko fredy lakini sizani kama ataweza kuendana na suala la nidhamu na huyu kocha ukizingatia ameshakuwa na kiburi kwa makocha wote alio wahi kufanya nao kazi akiwa utd ukimuongeza na yule wakala wake alivyo na maneno mengiWadau tunaionaje nafasi ya Pogba kwenye utawala wa Ralf?
Huyo norwich karuhusu goli 31 tangu msimu umeanza na yeye kafunga goli 8 tujidanganyeni msipo pigwa na Norwich basi draw, ila naimani Brentford atawabatiza kwa maji ya uzima
Hili nakuunga mkono lakini tatizo la pogba ni nidhamu kwa ujumla, raiola msumbufu sana.Mi Naona Bado United Tunamuhitaji Pogba Ukimtoa Bruno Hakuna Midfielder Mwingine Mbunifu Uwanjani Na Kupiga Pasi Za Maana Kama Yeye.
Chanzo cha herera kuondoka ni kutopewa nafasi mara kwa mara, ukumbuke herera, mikhtarian na wengineo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliangusha chozi wakati wanaitoa jezi ya utdHatukufanya makosa kumuachia Herrera au mchezaji yoyote yule, ukisema hivyo maana yake mtu kama Ronaldo ilikuwa makosa kumuuza.
Mchezaji akitaka kuondoka aondoke tu, hii kushawishi wachezaji ambao wanaonyesha wazi nia ya kusepa kwa kuwapa mishahara minono ndiyo sababu ya kuwa na wachezaji ambao hawana motisha kuipambania timu.
Conte mpe mechi zake kumi mbele, ule mfumo wake unafanana na ule wa mourinho wanataka wapaki basi na vicounter attackFixture ya united kwa Sasa ni kitonga kabisa .....
Lakin mbaya wenu ni spurs ,Conte anakuja kimya kimya aisee wakati mnawaza kina westham sijui arsenal ....Conte atakuja kufanya yake pale top 4
Safi!!Labda sijaeleweka;Ni kweli tumemiliki sana lakini lengo la kufika golini lilikuwa halitimii ndio maana shots on target ni 3
Naungana na ww asilimiaIla Rashford anahitaji kubadilika chini ya Ralf maana maamuzi yake langoni mwa adui yanakatisha tamaa
Tungekuwa na greenwood tungeshinda mapemaSafi!!Uko sahihi Sana, uwezo wa kumiliki mpira now tumekuwa nao, but uwezo wa kutengeneza nafasi ya mabao bado Ni mdogo, haina ubishi on targets zinajielez kwenye mechi dhid ya crystal
Hii ni kweli,Greenwoord shida yake ni utoto na ubinafsi usio na mantiki.Naungana na ww asilimiakwa mara nyingine, it's time for greenwood now, hatuhitaj rashford kwa sasa, greenwood Ni mchezaji anaewez hold mipira Sana bila kupoteza ukilinganisha na rashford
Bosi, cocha mwenyewe anasema ameshangazwa na kiwango kilichoeneshwa, sasa ya mambo ya kuquestion utengenezaji wa nafasi yanatoka wapi?Safi!!Uko sahihi Sana, uwezo wa kumiliki mpira now tumekuwa nao, but uwezo wa kutengeneza nafasi ya mabao bado Ni mdogo, haina ubishi on targets zinajielez kwenye mechi dhid ya crystal
Anasepa JanuaryWadau tunaionaje nafasi ya Pogba kwenye utawala wa Ralf?
True pia Pastor Fred anahitaji kuimprove pasi zake.Greenwood ni mzuri maana hapotezi mpira kirahisi kama Rashidi.Safi!!Uko sahihi Sana, uwezo wa kumiliki mpira now tumekuwa nao, but uwezo wa kutengeneza nafasi ya mabao bado Ni mdogo, haina ubishi on targets zinajielez kwenye mechi dhid ya crystal