The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ss baki kule kule kwenye jukwaa lako tutakufuata mkuu [emoji3][emoji3]Mpira wetu ni uleule,na mkumbuke tulikuwa OT lakini matumbo yetu yalikuwa moto dakika zote 90!!!Man U ninayoifahamu mimi tulikuwa hatu-struggle kuigonga Arsenal!!!narudia tena Ushindi wetu wa leo usitupe jeuri kwamba sijui timu imebadilika no no no, bado tuna safari ndefu,Penati ile ni michongo tu
Sent using Jamii Forums mobile app