Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,890
- 7,042
Mkuu bila shaka umeninukuu isivyo paswa, mimi sina tatizo na ushindi, kuna jamaa anajiita mbuzimawe nadhani huyu ni mamluki analeta mzaha humu jamvini.sawa tulifungwa 4 na Watford swali la kujiuliza baada ysa kufungwa na watford tumecheza mechi ngapi? almost tumeshinda zote icpokuwa tu draw na Chelsea auoni improvement apo
lets celebrate a winning we are REDS