The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kwakweli.. Ronaldo aliwanyima pasi mara 2 sasa wamepata nafasi bado anazinguaC mnaona masihara wanayofanya hivi vitoto vyenu mnavyosema vinanyimwa pasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitoto miaka yote ndio vinatucost.Kwakweli.. Ronaldo aliwanyima pasi mara 2 sasa wamepata nafasi bado anazingua
Tumeanza kuhesabu upya 801 Ni yuleyule Cr7 usiku mwema akifunga huyu mi kwangu mechi imeisha.
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app







Ile ya mwisho pale bila Freddy Saka alikuwa kachomoa, Telles alijisahau pale hadi Freddy akageuka kumcheki ikabidi jamaa amfate amkumbatie kumshukuruTelles mechi hizi alizocheza baada ya Shaw kuumia amejitahidi sana..

Yaah,mara mbili hata goli la pili aliacha sana nafasi upande wake..Ile ya mwisho pale bila Freddy Saka alikuwa kachomoa, Telles alijisahau pale hadi Freddy akageuka kumcheki ikabidi jamaa amfate amkumbatie kumshukuru![]()