Jana refa kapeta penalt aliyotaka kuileta..huyu jamaa kiazi sanaMaguire auzwe tu hamna chezaji pale
Huyu goal 1000 anafikisha, tuombe uhai tu, tena zitakuwa goli 1000 za kweli kabisa co za Pele anafunga goli hadi ufukweni anahesabu.CRISTIANO RONALDO SCORES HIS 800TH CAREER GOAL [emoji95]
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 2031425
Huyu goal 1000 anafikisha, tuombe uhai tu, tena zitakuwa goli 1000 za kweli kabisa co za Pele anafunga goli hadi ufukweni anahesabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia trend: Utakubali kwamba ifikapo mwaka 2023 atafikisha magoli 900
Na kweli aisee, Jamaa ana ballon dor kama 3 hivi za mchongo.Messi: "800 career goals?? If Journalists can vote I'll have 900." [emoji23]
#Joke[emoji23]View attachment 2031470