Itatukost mzee. Hata kama Rashford anazingua sio sana vile hasa akipewa pasi na mzee mwenyeweMkuu ronaldo muache kama alivyo mkuu huo ubinafsi ndio huwa unatubeba, vitoto vyenyewe vya kuvipasia viko wapi, miaka yote viko hapo vinaruka ruka tu, cr7 anacheza vizuri kabisa wacha gubu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafunga leo.Itatukost mzee. Hata kama Rashford anazingua sio sana vile hasa akipewa pasi na mzee mwenyewe
Hahahahaha... Ngojaa tuone izo mbili zitapita Kwa staili ganii,Maana Sio Kwa kushambuliwa hukoKipindi cha pili, kamba mbili tuone mtachomoa tena
Mnajikuta mafundi sana kuchomoa mabao, kama mabinti wa tanga
1-1
Vipi mkuuMcTomminay asirudi asee aingie Van De Beek ili kutoa penetration passes.
Alafu Ronaldo aache ubinafsi wacheze kitimu mbona arsenal anakufa tu. Ubinafsi ni tatizo. Ronaldo angempasia Rashford au Sancho chances zake.
Ile vile Maguire angepasia.






