lugabussa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 561
- 531
chama la wanaMaguire anadawa sio bure uyu ngoja tuone leo.View attachment 2030899
chama la wanaMaguire anadawa sio bure uyu ngoja tuone leo.View attachment 2030899
Shida ni u Captain, kocha Ralf Rangnick amvue tambala huyu punda.Maguire anadawa sio bure uyu ngoja tuone leo.View attachment 2030899
Huyu Dalot aliharibiwa na Ole.Kwa dalot pale kama tumepigwa hivi bisaka sijui yukwapi
Ana kitu Cha ziada ambacho hakionekani Kwa mashabiki Ndo maana hata kocha wa uingereza hamuachii Mechi muhimu.Maguire anadawa sio bure uyu ngoja tuone leo.View attachment 2030899
Subiri kipigo tu, hakuna kukereka wala kukerekwa
HahahhaSubiri kipigo tu, hakuna kukereka wala kukerekwa
Hawa leo tunapiga nyingiNyumbu Leo vip .....
Mpaka Sasa hakuna mfumo maalumu mnaocheza ....
Ni Kama kundi la walevi wapo uwanjani wanapasiana mpira .......
Ni ubaguzi tu bora Baily ajiondokee.Kwa Alivyocheza Bailly Mechi Iliyopita Hakuna Sababu Ya Leo Kuanzia Benchi Ni Ubaguzi Tu, CARRICK OUT..!!
Kaa kwa kutulia nikufundishe jinsi ya kuchinja nyumbuTeam za Leo ni Pipa na mfuniko wake
HahahaaaKaa kwa kutulia nikufundishe jinsi ya kuchinja nyumbu