Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimesoma sehemu kwamba Carrick akishinda hii mechi Ralph anasitishiwa mkataba na timu anakabidhiwa Carrick.
 
Kikosi safi sana hiki, timu kali kama Chelsea inahitaji kitasa kama Baily. Nimependa pia amemrudisha Phil Jones, hawa wakongwe wana akili kubwa sana. Matic ni mzito lakini ana vijana wepesi wawili kushoto na kulia kwake, hakuna kitu kitaharibika hapo kati.
Baily awe kitasa hivyo hivyo hadi dakika ya 90

Hatutaki matusi humu
 
Michael Carrick on Cristiano Ronaldo not starting vs Chelsea: “A few tweaks and changes to freshen things up. Cristiano Ronaldo is your standout name [to be on the bench]. I have had a good chat with Cristiano and he was great”.

manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]
IMG_20211128_191145_039.jpg
 
Hivi yule beki wa dunia ndio alipigwa Redcard? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Three players Ralf Rangnick could bring with him to Manchester United



√ Karim Adeyemi
√ Dani Olmo
√ Sardar Azmoun

#ManchesterEveningNews
manutd |
#GGMU[emoji123][emoji41]
IMG_20211128_190956_110.jpg
 
Back
Top Bottom