Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmmmh haaland kapita hapo kumbe
 
Alex failed on succession Planning and Implementation, and more on change management. the hopeless situation Man Utd has found itself in is more a thing of his handwork.
 
Ten Hag profile yake haiwezi kuwa above Valverde au Poch.

1. Valverde, two Laliga titles

2. Poch UCL Final, PSG manager.
Mkuu angalia na vitendea kazi vya Ten Hag halafu na vya Poch utajua nani anakupa output nzuri kwenye mazingira tofauti.

Poch katika harakati zake zote na spurs ametumia miaka 3 kufika UCL final na baada ya hapo akapotea baada ya key players kupata majeruhi. Kwa upande wa Ten Hag,karibia kila msimu backbone ya team yake inaondoka lakini anatengeneza timu shindani ndani ya muda mfupi.
Kwa pale Psg bado siwezi kusema kinachofanyika pale ni ubora wa mbinu zake au,ni mapema mno mkuu.
 
Kwanini??Ten Hag
Kati yake na Poch nafurahishwa na matunda ya kazi yake kuliko ya Poch.
Anatumia muda mfupi kutengeneza timu MPYA na bado inatoa upinzani wa kutosha kwa vigogo wa ulaya tofauti na Poch na soka la kushambulia mwanzo mwisho.
 
Mkuu unatakiwa kuangalia na profiles za hizo timu.

Ajax ni 4x UCL champions na dominant kwenye ligi ya Holland.

Tottenham ilikuwa Top 8 contender before Pochetino lakini katika misimu mitano yote ni kama yeye ndiyo alichukua nafasi za United na Arsenal with a limited bajeti.

Kumbuka pamoja na kufika fainali UCL Poch alikuwa hajasajili kwa misimu miwili na alimfunga Prime Ajax aliyemtoa Juventus na Real Madrid.
 
Mimi namuona Pochetino ni mwalimu ambaye hana bahati tu so hata akija United atakuwa busy body baada ya hapo anapoteana tu.
 
mimi simuelewi huyu interim coach so I real do not any expectations out of him.
Our season is already finished anyway..tunahitaji kusecure top four na kusogea mbele kwenye Uefa kwa kumtumia huyu interim..

Macho yetu yawe mwakani kwa kocha mpya na ushauri wa Ralf kwenye technical issues.
 
Gallagher namuelewa sana huyu dogo.
 
Huyu mzee anahitajika sana ktk nafasi ya mkurugenzi wa ufundi huyu aliyepo atafutiwe kazi ya kufanya kuanzia mwezi wa 6 mwakani. Ukimsikiliza hapa hiki ndicho tulichokuwa tunakosa nyakati hizi za watu wenye akili nyingi ya mpira behind the scene.

 
Naona Man washampa offer, tunasubiri timu yake ithibitishe tu.
 
Ila sio gurantee kufanya vizuri sehemu moja utafanya vizuri kwingine.

Kocha anaweza akawa mbaya psg akaja chelesea akafanya vizuri. Au akawa mzuri Ajax ila akija United akafanya vibaya.

Huwa sipendi sana kuhukumu kabla sijampa muda kocha. Poch anaweza kuja akafanya mazuri au mabaya.
 
Kwa hiyo tusubiri Jumapili au tuchambue akina Thiago Silva ... Si ndio beki mnayoitegemea. Farmers League reject
***** kwamba unataka kusemaje?

Farmers league reject ametupa Champions League.

Wewe huyo Magwaya kichwa kikubwa amekupa nini?

Kweli we nyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…