kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,147
- 15,770
Just manage your expectations.
Yule kocha wa Ajax naona yupo vizuri sanaHuyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...
Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake
Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....
Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya
Laurent blanc
Rangnick
Wapo considered
Nakuunga mkono kwenye hili mkuu. Ukiacha tatizo la waingereza kuigharimu timu kuna huyu pogba ni zaidi ya kirusi cha HIVYote 9 ila pogba ni mzigo sana....bora aondoke tu
Huu ni ujinga. Wanamfukuzaje kocha wetu mzuri Ole? Tutapata kocha gani mwingine mwenye uwezo kama Ole? 😡😡😡🚨 BREAKING: Ole Gunnar Solskjaer has been sacked by Manchester United following yesterday's 4-1 defeat to Watford.
#beINPL #MUFC https://t.co/xA1DyYMKNj
Kwa kuaga kule angebaki kweli? Jana usiku anaulizwa pale ulikuwa unawaaga mashabiki au ulikuwa na maana gani? Akajibu nilikuwa naungana nao kwenye majonzi.
Carrick hawezi kuwa kocha kwa zaidi ya wiki mbili..acha masihara..Taarifa inasema kwamba Ole kaachwa Carrick atashikilia timu kwa muda wakati wanamfikiria kocha wa kuja kukaa na timu mpaka mwisho wa msimu.
Yaani ni kwamba wale waliojiita title contender hawana mpango na ile title kwa msimu huu. Na kumpa timu Carrick mimi naona ni yaleyale tu.
Maximum salary?Kuwapa wachezaji mishahara mikubwa na mikataba mirefu ndo inawapa kiburi.
Ilitakiwa iwekwe maximum salary, kama ukitaka kucheza United lazima ubaki kwenye hiyo frame.
Utapata wachezaji wafia timu wa bei ya kawaida sana ambapo watakuwa proud kucheza United.
Ila haya mambo ya kuwanunua kina Maguire kwa 80M au Sancho kwa 72M lazima upate wachezaji wavivu na wanaojiona wakubwa kuliko club.
No contract extension na wakiongeza mkataba shusha mshahara, akikataa aende huko atalipwa hiyo hela.
Na ninachojua ukiacha PSG sidhani kama kuna timu nyingine ya kulipa mishahara mikubwa kama Utd.
Blanc nafikiri yuko powa Zidane ile treble ya trophy ndio ina mbeba but si mzuri snaHuyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...
Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake
Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....
Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya
Laurent blanc
Rangnick
Wapo considered
Anashikilia timu mpaka interim manager atakapofika.Carrick hawezi kuwa kocha kwa zaidi ya wiki mbili..acha masihara..
Mkuu DNA bila makombe utafika...???Watakua wamefanya uamuzi mzuri sana kuwaweka Fletcher na carrick !! nakiri ni maamuzi mazuri sana kulinda DNA yetu !! ... Na Ferguson azidi kufanya maamuzi kulinda hii DNA
Sisi kama nyumbu tuko mashabiki zaidi ya milioni 75 ... hatuwezi kupelekeshwa na maneno ya mashabiki 20 wa JF
Cha muhimu DNA ndio kila kitu kwetu
Interim manager atakopofika kivipi wakati interims ni hao kina fletcher na carrick kama unavyosema?Anashikilia timu mpaka interim manager atakapofika.
Zidane hamtaweza kumvumilia kwakua kutokana na kikosi yeye hatoweza kuleta instant success kitu ambacho mashabiki ndicho wanataka so natarajia #ZidaneOut soon baada ya kua appointed.Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...
Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake
Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....
Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya
Laurent blanc
Rangnick
Wapo considered