Hizi club shida zina Culture na Identity yao, kama makombe yanakuja utaulizwa yamekuja vipi?Sasa Kama atabadili au asibadili shida Yao nn haswa si ni kupata makombe Sasa Kama makombe yanakuja kubadili culture Kuna shida gani...???
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Culture ni nini mbele ya vipigo bruv?Hizi club shida zina Culture na Identity yao, kama makombe yanakuja utaulizwa yamekuja vipi?
Mpira kwao ni kama dini
Ndio maana ni ngumu sana Club kama United, Liverpool & Arsenal kuuzwa kwa Waarabu japo mambo yana evolve.
Huyuhuyu Rooney ambaye hâta derby count imemishinda, inabondwa tu na Sasa iko mkiani kwa goal deference ya -25?Culture ni nini mbele ya vipigo bruv?
Arsenal ngumu kuuzwa kwakua inazalisha faida kubwa kulinganisha na uwekezaje wake kroenke.
Ila Ole kuishusha timu daraja na kipindi chake United nafikiri ni doa. United itabaki kua timu pekee kubwa aliyowahi kufundisha.
Inasemekana United wanataka Rooney ndiye aje kua kocha.
Duuh noma sanaHuyuhuyu Rooney ambaye hâta derby count imemishinda, inabondwa tu na Sasa iko mkiani kwa goal deference ya -25?
Rooney hafai japo Derby kabla ya kuanza msimu walinyang'anywa point 18Huyuhuyu Rooney ambaye hâta derby count imemishinda, inabondwa tu na Sasa iko mkiani kwa goal deference ya -25?
Yote 9 ila pogba ni mzigo sana....bora aondoke tuMan U haiitaji kocha wa ku prove himself ktk team, huyu tutakuja kulalamika tena humu baadae.. mara 100 Zizzou tucheze tu hiyo gamble ukiangalia na uwepo wa Varane, Ronaldo ambao kimsingi kafanya nao kazi muda mrefu pia nadhani itambakisha Pogba Man U maana kwa mambo yanavoenda anasepa kabisa namuona
Kuna mizengwe ilitokea ila actually Derby was good.Huyuhuyu Rooney ambaye hâta derby count imemishinda, inabondwa tu na Sasa iko mkiani kwa goal deference ya -25?
Chelsea hatufungi save hii comment.Yani amna kitu kinauma kama vile tunaenda kucheza na Chelsea tukijua tutafungwa tu sasa ata umuhimu wa kucheki mechi ukwapi sasa.
Liverpool ya Leo inavyocheza si lile pira lao la miaka ya huko kwa kina john BarnesYaani nachokiona kwa United board ni kama vile wanataka kuendeleza Identity ya Sir. Fergie na ndio maana wanazunguka kwa walewale Fletcher, Carrick, Solskjaer, Rodgers, Moyes..
Enrique / Erik ten hag ni mtu na nusu ila sasa atabadili culture nzima ya Club kwenye suala la soka uwanjani.
We si umepigwa 4-0 Jana, unapata wapi ujasiri wa kuongea mkuu!Yaani nachokiona kwa United board ni kama vile wanataka kuendeleza Identity ya Sir. Fergie na ndio maana wanazunguka kwa walewale Fletcher, Carrick, Solskjaer, Rodgers, Moyes..
Enrique / Erik ten hag ni mtu na nusu ila sasa atabadili culture nzima ya Club kwenye suala la soka uwanjani.
Hafukuzwi mtu hapo, mnapeana moyo tu.
Conte afaulu kwanza spurs ndio tujilaumuA world class mistake
Bro saved kwenye sanduku la farao funguo ninazo mieChelsea hatufungi save hii comment.