Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu sijawahi amini motivation za Ole.....baada ya kufungwa na city alisema "tutarudi kama mnyama aliejeruhiwa dhidi ya Watford" hahahaha
Alimaanisha kweli, maana mnyama aliyejeruhiwa yupo hatiani kuuawa na wanyama wengine
 
Media na legends wa United ndio tatizo kuu wala sio solskjaer
 
Wazee msijisumbue tu, timu yetu inaendeshwa na watu vilaza. Unahitaji kikao cha dharura kumfukuza Ole?

Tafsiri nyepesi maana yake timu yetu ilikuwa haina mpango mbadala endapo mpango wa awali utafeli. Nimesema hapa mara nyingi sana nafasi ya Ed inahitaji mtu mwenye akili sana na sio mtu kilaza.

Leo hii Barcelona wamempa timu Xavi ila ktk backup plan Luis Enrique na Pep Guardiola wapo ktk contingency plan incase akifeli na hata wao wenye wanafahamu.
 
Afadhali aje mwamba "Brendan Rodgers" atatufaa kwa mbinu zake za kimkakati .... binafsi sijapendezwa na tetesi za ole kusepa !! Tunahitaji vichekesho kila wiki kwa afya
Mbona ole yupo, au aje kuwa msaidizi!?
 
Could leave as early as January for West Ham if Zinedine Zidane is appointed but if Wayne Rooney takes over he may stay till the end of season before making a final decision. View attachment 2017986
Kocha mpya aje hii mizigo ipungue, aanze na boga magwaya afuate huyu mpuuzi amalize na mrenda mrenda Martial.
 
Angeondoka tu kabla ya kufukuzwa kwani ole haoni kama imeshindikana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…