Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FRED, FRED, FRED...BILA FRED MAN U YETU NI TAKATAKA..
HATA HIVYO MCHEZAJI ANACHEZA FISRT ELEVEN YA BRAZIL ANAANZIA NJE!!! HUYU SOSHA AONDOKE TU AISEE.
Huyo Fred akiwa Brazil anakuwaje?
 
Wewe GASHO unajua nini kuhusu mpira!!??


Acha wanaume waongee
 
Mie nafikiri Ole afukuzwe abaki Carrick
Then man u matic na sancho hao wote hawachezi wana zurura tu
abaki Carrick kufanya nini mkuu? hana uzoefu wowote na kwa tunavyocheza inqonesha hana mbinu zozote.....phelan mda wote ameegemea siti tumbo kubwa hana matatizo.....
 
Hamna cha matic wala nini game nzima wachezaji hawachezi huu ni mgomo dhahiri shahili.
 
Hilo ni tatizo kubwa sana.

Kuwa na uhusiano na class of 92 na retired Ferguson ndo shida.

Fergie ametupa makocha wawili (Moyes na Ole) ambao wameonesha very poor performance.

Ties na ma legende zivunjwe, otherwise we are finished.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…