Pochettino ana timu kama PSG kwenye ligi ambayo iliondolewa kwenye ligi tano bora (ghafla ikarudishwa) ina wachezaji masuperstar tupu halafu clean sheet tu anaitafuta kwa tochi.Poch kuanzia southampton hadi Tothenham alijenga vikosi vizuri sana na timu zake zilicheza mpira mzuri sana.....tofauti ya Ole na Poch ni kuwa mmoja alifikisha final timu akiwa hajasajili kwa misimu 2 (spurs vs liverpool)....
Pia Tot walikuwa wanacheza mpira mzuri sana chini ya Poch japo falsafa yake haipo clear yani haieleweki kama ni pasi au nini..
.....japo ni attacking football ila haipo well organized kiasi hicho.....
tofauti nyingine ya Ole na Poch ipo katika technical ability haswa tactic yani wanacheza sawa tu ila poch anapata kilichobora kwa wachezaji kuliko ole pia anajua kutumia wachezaji kulingana na ubora wao.....
siunakumbuka dele ali alipanda bei hadi paund mil 100 haha..
anaejua atatuelewesha zaidi.
Work rate ya hii timu yetu ipo chini sana..City hawana wakabaji wengi wenye fiziki lakini wanavyopress na kuretain ball ni another level.Kuhusu Moyes na Westham Yake:
Kila mchezaji wa Hammers alivuja jasho na walikimbia kilomita nyingi sana ila suala kama hili huwezi kulikuta kwa wachezaji mabishoo wa Ole.
Hakuna mchezaji bishoo ila kuna kocha bishoo.Kuhusu Moyes na Westham Yake:
Kila mchezaji wa Hammers alivuja jasho na walikimbia kilomita nyingi sana ila suala kama hili huwezi kulikuta kwa wachezaji mabishoo wa Ole.
Tatizo la Man Utd ni kusajili waingereza wasio na vipaji kwa bei kubwa.Wenyewe wanasema ndiye alifanya mapinduzi ya mfumo was Gegenpressing na pia ndiye mentor wa hiki kizazi kipya cha makocha waliowahi kufundisha bundesliga kama vile Thomas Tuchel, Julian Nagelsmann, Ralph Hasenhuttl na Jurgen Klopp.
Simuoni kama ni mwanadamu atakayehimili na kuvumilia udhaifu wa bodi yetu yenye tatizo la kutake action kwa haraka pale panapohitajika kufanywa hivyo.
Huyu mzee atatusaidia sana maeneo yote mawili ambayo bado yanaendelea kufanya vibaya, eneo la kwanza ni la ndani ya uwanja kwa kuimplement structure inayoeleweka kiuchezaji bila ya kujali mchezaji gani yupo uwanjani, eneo la pili ni recruitment kwa kutafuta wachezaji sahihi na wenye uwezo kwa bei nafuu watakaoweza kuingia kwenye mfumo kwa haraka.
Kuna mifano tele ya wachezaji waliopitia kwenye mikono yake akiwa kama kocha na hata DOF ambao wanafanya vizuri mpaka muda huu kwenye mchezo we soka kama vile sadio mane, werner,keita, firmino n.k
Tujaalie umeshamkabidhi ajira ya muda mfupi mzee rangnick, baada ya kuondoka kwake unachukua hatua gani?
Unadhani bodi itakwenda kuwatafuta wanafunzi wake na kuwapa timu au itaendelea kucheza squid games ili mradi Siku ziende.
Kwa ufupi hii bodie yetu itaelewa somo la urithi wa structure ya kiuchezaji kutoka kwa mwalimu A to B.
Wenyewe wanasema ndiye alifanya mapinduzi ya mfumo was Gegenpressing na pia ndiye mentor wa hiki kizazi kipya cha makocha waliowahi kufundisha bundesliga kama vile Thomas Tuchel, Julian Nagelsmann, Ralph Hasenhuttl na Jurgen Klopp.
Simuoni kama ni mwanadamu atakayehimili na kuvumilia udhaifu wa bodi yetu yenye tatizo la kutake action kwa haraka pale panapohitajika kufanywa hivyo.
Huyu mzee atatusaidia sana maeneo yote mawili ambayo bado yanaendelea kufanya vibaya, eneo la kwanza ni la ndani ya uwanja kwa kuimplement structure inayoeleweka kiuchezaji bila ya kujali mchezaji gani yupo uwanjani, eneo la pili ni recruitment kwa kutafuta wachezaji sahihi na wenye uwezo kwa bei nafuu watakaoweza kuingia kwenye mfumo kwa haraka.
Kuna mifano tele ya wachezaji waliopitia kwenye mikono yake akiwa kama kocha na hata DOF ambao wanafanya vizuri mpaka muda huu kwenye mchezo we soka kama vile sadio mane, werner,keita, firmino n.k
Tujaalie umeshamkabidhi ajira ya muda mfupi mzee rangnick, baada ya kuondoka kwake unachukua hatua gani?
Unadhani bodi itakwenda kuwatafuta wanafunzi wake na kuwapa timu au itaendelea kucheza squid games ili mradi Siku ziende.
Kwa ufupi hii bodie yetu itaelewa somo la urithi wa structure ya kiuchezaji kutoka kwa mwalimu A to B.
Wenzetu suala la kuandamana hawalikatazi ila ukishaanza kuleta mambo ya kuchoma moto utawashwa njugu bila huruma....Ili hili zoezi lifanikiwe,watie kiberiti nyumba ya Ole au Ed mwenyewe. Kesho yake tu Breaking news fasta!
Ugali wa bure huo!Alichokiumba Mungu binadamu hawezi kukitenganisha.
Ole ni chaguo la Mungu.
Hivyo mkae kwa kutulia.
Sisi mashabiki wa Nyumbu FC bado tunamuhitaji sana Ole.
Wanaomkataa ni mamluki...
Ole jana, leo na kesho na hata milele...Ugali wa bure huo!
Wanakimbia sana uwanjani kuutafuta wakiupata wanakua wameshachoka.Timu ya Ole hata kutengeneza nafasi haiwezi.
Kupiga pass mfululizo walau mbili haiwezi sasa hii timu mazoezini huwa wanakutana kufanya nini ?
Wewe huwa unaona wanakimbia kuutafuta ?Wanakimbia sana uwanjani kuutafuta wakiupata wanakua wameshachoka.
Mfano ni zile harakati za Fred.Wewe huwa unaona wanakimbia kuutafuta ?
ED si anaondoka, Grazers wamuambie ED Aliwa mislead.Van Gaal hawezi kurudi kirahisi hivyo.
Ile interview yake aliinyea management ya Utd vibaya sana.
Na ukiangalia structure haijabadilika mpaka leo.
Aje kufanya nini kwa management isiyompa ushirikiano?