Sijawahi Kumwamini huyu Brendan kama ni kocha wa maana.soon tunatua mzigo rohoni, kwa namna yoyote ile bwana ole inabidi akatafute ajira kwingine aachane na man u kabisa
View attachment 2002504
Anayekuja kuchukua nafasi ya Ed ni insider pia..jamaa fulani huwa yupo na Ed muda mwingi..Erik Ten Hag ni mzuri ila ufanisi wake upo nyuma ya Edwin Van Der Sar (Football Executive) na Marc Overmas (Director of football) ukimchukua pekee yake kwa mfumo wa timu yetu namuona akifeli vibaya sana ndani ya muda mfupi sana.
Huu ni wakati sahihi sana wa ile nafasi ya Ed kupewa mtu mwenye uzoefu wa kuendesha vilabu vyao soka as a football executive. Wasifanye kosa la kuleta kilaza kama Ed, niliwahi kuelezea impact ya kuwa na mtendaji mkuu mwenye kichwa kizuri.
Wamiliki wa Man City waliponunua timu wakamtafuta football executive toka Barcelona Ferran Sorriano kuwaendeshea timu. Mtu wa kwanza kuanza kumuajiri alikuwa ni football director kutoka Barcelona Aitor Txiki Birigistan moja kwa moja wakaanza kusuka upya scouting staffs globally na wengi wao walitoka Barcelona.
Ferran Sorriano aliwaambia mabosi wa City ndani ya miaka 5 ya uongozi wake atabeba makombe 5 na Club itapunguza 50% hasara inazotumia kujiendesha na kweli msimu wake wa kwanza alimuondoa Mancini akamleta Manuel Pellegrini kichwani walifahamu fika wanamtaka Pep Guardiola. Sisi tunakosa hii kitu watu wanaojua nini wanafanya. Ole anacheleweshwa kufukuzwa ni kwa sbb Ed na DoF wake hawana mtu kichwani kwako atayeendelezea project waliyoipanga muda mrefu.
Angalia takwimu za hawa football Executive wawili walioanza kazi pamoja ndani ya hii misimu 9, Ferran Sorriano vs Ed Woodward
Ferran Sorriano (Sept, 2012 - )
Premier League trophies: 4
FA: 1
EFL:4
Ed Woodward (July, 2013 - )
Premier League trophies: 0
FA: 1
EFL:1
UEFA Europa: 1
Brendan Roger's alienda Liverpool akitokea Swansea City.Brendan sio mlivapuli Mzee ..kabla ya kwenda Liverpool alitoka Chelsea kama kocha wa academy ...so sio kwamba n mwana Liverpool halisi km kina dalgish
His time is up..Hili nakupinga Ferguson hakuwahi kufundisha timu goi goi namna hii.
Huu ugoigoi wa timu yetu ni replica ya attitude ya Ole.
Unaona kabisa timu ile huwa haifanyi tactical training zaidi ya kukimbia kuondoa hangover za mapenzi na bia tu.
Uliona wapi timu ya Ferguson inanyanyaswa kwenye physicality na timu yoyote EPL?
Uliona wapi timu ya Ferguson inacheza hovyo consecutively mechi kumi bila Ferguson kufanya overhaul ya squad.?
Ulishawahi kuona mchezaji chini ya Ferguson anafanya upuuzi halafu Fergi asimkoromee au kutompanga kikosini hata kwa mwezi mzima ?
Kifupi Ole wachezaji wake wanamchukulia kama ROOMMATES na siyo watu wanaotakiwa kutii anavyotaka yeye hiyo ni kwa sababu Ole anawachukulia wachezaji wake kama COLLEAGUES tu badala ya kuwa subordinates wake.
Ole is just a nice boy not a Man.
Msaidizi wa Mourinho Chelsea alikuwa Rui Faria na Ray WilkinsNa msaidizi wa Mourinho
Ofcourse lakini kufukuzwa Ole ni December huko baada ya matumaini ya ubingwa kupotea.His time is up..
Hawezi kuturn things around..
Afurushwe..I don't even care about him being our legend.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madogo wa academy wanacheza..hata juzi walishinda Amad alipiga bonge la goliOfcourse lakini kufukuzwa Ole ni December huko baada ya matumaini ya ubingwa kupotea.
Yawezekana wataendelea kutaka apiganie top four kisha mwisho wa msimu watamtimua kazi.
Hawana succession plan na hakuna high profile manager ambaye ni easy pick kwa sasa.
Hivyo tuendelee kuvumilia vipigo, pamoja na hayo mimi nasikitishwa zaidi na namna timu inavyocheza hata academy players wa Nick But wako siriasi kuliko hawa vijana wa Ole.
Timu ya Ole hata kutengeneza nafasi haiwezi.Madogo wa academy wanacheza..hata juzi walishinda Amad alipiga bonge la goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana akiona haifanyi kazi anarudi kwenye 4231Ole anafurahisha Sana,Hana formation maalumu.Akiona formation inampa matokeo kwenye mchezo mmoja bas ataitumia kwenye mchezo ujao,ikitokea akafungwa bas ataachana na formation hiyo atahamia kwenye formation nyinginejamaa ni mtu wa trial and error...
Duh! Kama mfumo wa uongozi utaendelea ule ule tunahitaji kocha mwenye kiburi na mjeuri aina ya Luis Enrique (#1) au Diego Simeone. Hawa baada ya majira ya kiangazi mwakani wanaweza kuachana na majukumu yao ya sasa.Anayekuja kuchukua nafasi ya Ed ni insider pia..jamaa fulani huwa yupo na Ed muda mwingi..
So the cycle continues i think.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Ralf amewahi kufundisha timu ipi zaidi ya kuwa DoF pale Red Bull Liepzig .?Duh! Kama mfumo wa uongozi utaendelea ule ule tunahitaji kocha mwenye kiburi na mjeuri aina ya Luis Enrique (#1) au Diego Simeone. Hawa baada ya majira ya kiangazi mwakani wanaweza kuachana na majukumu yao ya sasa.
Kwa sasa best option ni kocha wa mpito Carlos Queiroz (yupo timu ya taifa ya Misri) au hata huyu Ralf Rangnick ambaye baadae anaweza kupandishwa cheo kuwa director of football. Anaonekana ni mtu mwenye plan kichwani kwake.
Iyo draw na arsenal aipatie wap mzee?Ole atashinda mechi na Watford then atadraw na Arsenal baada hapo atapigwa na Chelsea.
Inasikitisha sana