Brandon Rojas ni kuku kishingo (Mwana Liverpool) hawezi kuja United.Wazee Moyes anajipigia tu, tatizo siyo wachezaji kabisa ni kochaaaa.
Kama United wapo serious kweli wamlete Ralf Rangnick huyu ndiyo kichwa cha wanayofanya makocha kama Klopp na Tuchel. Kwa style yake na aina ya wachezaji (mapafu ya mbwa) anaowahitaji wapo apewe timu naona tetesi nyingi ni kwa kocha wa Leicester, hapo United wanapotea kwa mara nyingine tena.
Moyes nae pia ni mpuuzi tu, hana tofauti yeyote na Ole, labda kwakua yeye anafundisha timu isiyo kua na pressure.Acha kumfananisha David Moyes na vitu vya kijinga
Najua hilo halitakuja kutokea, lakini likitokea tutakua tunaendelea kutest mitambo tu.soon tunatua mzigo rohoni, kwa namna yoyote ile bwana ole inabidi akatafute ajira kwingine aachane na man u kabisa
View attachment 2002504
Huyu nae ikibidi atuache kidogo.
Huyo na Moyes viwango vyao ni sawa tu, sio wakupewa timu kubwa, utawakataa.Brendan Rodgers huyu aliyefeli Liverpool anakuja Utd?
Brendan sio mlivapuli Mzee ..kabla ya kwenda Liverpool alitoka Chelsea kama kocha wa academy ...so sio kwamba n mwana Liverpool halisi km kina dalgishNajua hilo halitakuja kutokea, lakini likitokea tutakua tunaendelea kutest mitambo tu.
Brandon ni wakawaida sana, achilia mbali ulivapuli wake.
Naamini hivyo pia ....sema naona wanahangaika na succession plan .....wanawaza nani wampe timu pia wanavizia kupata kocha wa moja kwa moja na nafikiri kocha wanaemtaka yupo na timuWazee wiki hii haiishi Ole anafukuzwa.
Erik Ten Hag ni mzuri ila ufanisi wake upo nyuma ya Edwin Van Der Sar (Football Executive) na Marc Overmas (Director of football) ukimchukua pekee yake kwa mfumo wa timu yetu namuona akifeli vibaya sana ndani ya muda mfupi sana.Naamini hivyo pia ....sema naona wanahangaika na succession plan .....wanawaza nani wampe timu pia wanavizia kupata kocha wa moja kwa moja na nafikiri kocha wanaemtaka yupo na timu
Ten hag. Poch na the others
Na msaidizi wa MourinhoBrendan sio mlivapuli Mzee ..kabla ya kwenda Liverpool alitoka Chelsea kama kocha wa academy ...so sio kwamba n mwana Liverpool halisi km kina dalgish
Hili nakupinga Ferguson hakuwahi kufundisha timu goi goi namna hii.Kuna rafiki yangu mmoja mtaani aliwahi niambia kua timu yetu haiwezi kurudi tena kama zamani mpaka Ferguson afe.
Siku ile nilimuona kama karopoka tu kwakua yeye ni mshika manati.
Ila kwakweli naanza kuamini mdogo mdogo.
Hata uwepo wa Ole mpaka sasa pale OT unatokana na Ferguson, laiti angekua kocha ambae hayupo ndani ya mfuko wa suruali ya Ferguson saizi Ole tulisha msahau tangu tulipo donyolewa na kuku.
Kuku alitufanya kitu mbaya sana.
Kichapo kile kiliidhinisha kabisa kufukuzwa kwa Sorkjaer, lakini kwakua yuko ndani ya mfuko wa suruali ya babu mpaka leo tunaendelea kumuona akitamba.
TATIZO SIO WACHEZAJI, KOCHA, WALA UONGOZI, TATIZO NI ZIDUMU FIKRA ZA FERGUSON.
Ole atashinda mechi na Watford then atadraw na Arsenal baada hapo atapigwa na Chelsea.Hii mambo ya international break ndio inayo exacerbate crisis kwa OLE ujue? sio kwamba nawish, lakini intuitive trend analysis yangu inaproject kipigo next mechi, tena hii international break ndio inaongeza odds za kipigo.
Fu.ck the body..BREAKING: #MUFC have no plans to replace manager Ole Gunnar Solskjaer despite Saturday's defeat in the Manchester derby[Sky Sports]