Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya asee tutafanyaje tu hata tukinuna hafukuzwii dawa za kimasai hatari sana.View attachment 2001133
Hiii stat nmecheka saaaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unaujua!?Unamlaumu vipi mlinda mlango kwa kazi aloifanya,
au mpira hauujui mkuu
Kweli bwanaAngekuwa Vontr master techniques tungeshinda,ila nakwambia leo tutakimbizwa balaa,na bora Bailly apangwe walau kudhibiti wakina Stearing
Kumbe??Unaweza ukaaamini tuliwahi kuongoza league?
Japo wamemfunga brentford..lakini kocha kafurushwa..Norwich washafukuza kocha ole mitano tena
Na kufunga 19..what a disaster.Kwa timu zilizo top 10 mpaka jioni ya leo. Man Utd ndio imefungwa magoli mengi zaidi. magoli 17.
Haki yenu kutucheka, yaani inasikitisha ila mtuombeeOle hawezi mifumo yote ...
Ajaribu 8-1-1
Mnaonaje wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]