D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Huyu Ole ni hamna kitu
walimuona kwenye ile mechi ya Liverpool alivyokua mzgo badala ya kupiga mpira akawa anapiga watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uu kama so mzigo n nnBado nafikiria wale waliosema ronaldo ni mzigo cjui walimaanisha nini aisee.
We nae umekazania ronadooo ronadooo umesimamisha misuli ya shingo hadi mate yanakutoka pembeni ya limdomo.Bado nafikiria wale waliosema ronaldo ni mzigo cjui walimaanisha nini aisee.
Uko tayari kuwa mke wake wa pili?5 goals 4 matches 36 yrs, nomaaa
Aondoke aende wapi ...Pogba na yeye ikiwezekana aondoke january,,asimalize hata msimu.
Ronaldo ni mzigo mkubwa kabisa kwenye timu ,hakabi ,hapandi na kushuka ,anataka kutelezeshewa tu mpira .....Bado nafikiria wale waliosema ronaldo ni mzigo cjui walimaanisha nini aisee.
Mkuu niliwahi kusemea humu ndani hizi sajili za watoto wa malkia zinatugharimu sana ila nadhani sikueleweka vizuri. Mfano mzuri ni kwenye team selection zinazofanywa na Ole kwa kuangalia utaifa kuliko form ya mchezaji.Ni kama nayaelewa maneno ya Bavaria. Aliwahi kusema Ole anavi-element vya ubaguzi, haiingii akilini wale mabeki wote watatu wakiwa fit eti huyu msenge Maguire ndio anatafutiwa nani wa kucheza nae wakati wote wanamzidi uwezo.
Hata huu mfumo wa kuanzisha mabeki watatu pale nyuma ni namna tu ya kumu-accomodate huyu msenge Harry ila anatugharimu sana. Michezo yote aliyecheza msimu huu ametoa maboko.
Ni kama nayaelewa maneno ya Bavaria. Aliwahi kusema Ole anavi-element vya ubaguzi, haiingii akilini wale mabeki wote watatu wakiwa fit eti huyu msenge Maguire ndio anatafutiwa nani wa kucheza nae wakati wote wanamzidi uwezo.
Hata huu mfumo wa kuanzisha mabeki watatu pale nyuma ni namna tu ya kumu-accomodate huyu msenge Harry ila anatugharimu sana. Michezo yote aliyecheza msimu huu ametoa maboko.
Ndio maana mitihani inaonekana migumu ronaldo anapiga mpira angalia mguu upo wapi , angempiga mtu ni straight red card ,walimu wako walipata kazi sana.walimuona kwenye ile mechi ya Liverpool alivyokua mzgo badala ya kupiga mpira akawa anapiga watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uu kama so mzigo n nnView attachment 1996574
Hata kwenye ligi.Kama tungekuwa na kocha bora, huu msimu cr7 angefunga goli nyingi sana champions league.
Ukiangalia perfomance ya Baily huwezi kuamini ni mchezaji anayesugua benchi mbele ya maguire.Pona ya Ole ni kuwakumbatia waingereza kwenye kikosi.
Yani unaambiwa atafutwe beki wa kucheza na Maguire na sio vinginevyo.Ni kama nayaelewa maneno ya Bavaria. Aliwahi kusema Ole anavi-element vya ubaguzi, haiingii akilini wale mabeki wote watatu wakiwa fit eti huyu msenge Maguire ndio anatafutiwa nani wa kucheza nae wakati wote wanamzidi uwezo.
Hata huu mfumo wa kuanzisha mabeki watatu pale nyuma ni namna tu ya kumu-accomodate huyu msenge Harry ila anatugharimu sana. Michezo yote aliyecheza msimu huu ametoa maboko.