Kuna muda nakuwa Napata hisia kali sana kuhusu Sir Fergie huyu babu nuksi sana mi nishaona kama vile hataki rekodi zake zifunikwe na Mtu yeyote pale OT hivyo basi anafanya kila namna yani figisu figisu tu SOLSKJÆR abaki ili tuendelee kupigwa tu abaki kuwa kileleni kwenye kutwa makombe Pale OT maana keshaona kikosi tulicho nacho ni kikubwa mno kuliko alichokuwa nacho kipindi chake hivyo basi anaona akija Kocha mzuri Pale nikujizolea tu Makombe ama nyie mnaonaje?..?Dah ila hii team yetu bado sana tukiendelea kuwa na kocha huyu haya mashindano tutakuwa wasindikizaji tu nawaza ndo unakutana na team kama Bayern
Hio system inataks muwe na mabeki wazuri sio mnajiendea tu3-5-2...
United tumemtaka Conte,Ole akaona isiwe shida..amemcopy Conte fasta.
3-5-2 ina maana Sancho,Amad,Pellistri watafute la kufanya..kama ni kweli Ole atastick na hii fomesheni
Shaw na AWB je wanaweza kucheza kama Wing backs efficiently?.
========
De Gea
Lindelof Maguire Varane
AWB McFred Bruno Shaw
Ronaldo Cavani
=======
Huyu miaka 36 wanamuita Babu, afu Onyango anaitwa kijana.Huyu jamaa mnae mwita BaBu naomba mmwaaaaaache [emoji23].View attachment 1996311
Huyu miaka 36 wanamuita Babu, afu Onyango anaitwa kijana.
Hana kiwango cha kuchezea man united ila ndio ivoUchezaji wa Bissaka unatia kichefuchefu.