Aisee we jamaa inaelekea unaishi katika dunia yako eti 1 win...hv msimu uliopita guardiola anachabangwa mara 3 ulikuwa wapi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo watu wakicheza games 6 wanakuwa wamekutana mara 3?
Jamani hili jukwaa huyu mtu mlimuokota wapi?
Hebu kaangalie picha yako uliyopost.
Bado na Conte soon to spursBado hajafukuzwa tu
Afadhali aende Spurs mana nilikuwa nawaza sn cz jamaa cmkubali.Bado na Conte soon to spurs
Unamkubali nani mkuu?Afadhali aende Spurs mana nilikuwa nawaza sn cz jamaa cmkubali.
Wamlete Hans Flick kama wanaweza au km vipi wamchukue Nabi wa Yanga ana uwezo kuliko Sosha.Unamkubali nani mkuu?
Ngoja tuone baada ya mechi ya jumamosi nini kitajiliWamlete Hans Flick kama wanaweza au km vipi wamchukue Nabi wa Yanga ana uwezo kuliko Sosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duhWamlete Hans Flick kama wanaweza au km vipi wamchukue Nabi wa Yanga ana uwezo kuliko Sosha.
Nabi miezi mitatu tu timu inacheza soka la kuvutia kuliko Man Utd, c bora tumchukue yeye.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh
Kwani c kuna ucl wiki hii?Ngoja tuone baada ya mechi ya jumamosi nini kitajili
Hans Flick ngumu.... Hawezi kuja kuporomosha CV yake aliyoijenga pale bayern.Wamlete Hans Flick kama wanaweza au km vipi wamchukue Nabi wa Yanga ana uwezo kuliko Sosha.