Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa upande wangu naona Masai Hana tatizo maan toka andoke sir Alex mpk Leo hamna chochote mlichofany Zaid ya kutimua makocha yaan mnatak mafanikio ya haraka akipatika Tu Kocha never Tim inatakiw ijengwe Kwa mda hamuoni Kwa Liverpool
 
Buyern kuchukuwa ubingwa wa Ujerumani siyo mafanikio ya kueleza hadharani, alikuta timu ambayo imetoka kubeba vikombe vyote vya Ulaya, UEFA hakufanya lolote.
I think umeona tofauti ,Bayern kuchukua Bundesliga sio mafanikio but United kuchukua EPL ni mafanikio makubwa
 
Huyu Ole hata wakilazimisha abaki wachezaji hawawezi tena kumpa heshima yake maana ameprove hawezi kuwafundisha na ni mweupe kichwani, unawaambia watu wapress high na hawajawahi kupractise ndo sababu ya dhahama iliyotukuta ndo mana nasema hawa wachezaji wanajichezea tu freestyle battle kama magwair maana mkiwa hamna mbinu hata mkijaa mastaa wote hamtoboi.
 
#mufc are uncertain about Antonio Conte's suitability to manage the club. Some high-ranking figures at United are not keen on the Italian. United have not made any concrete contact with Conte #mulive
 
Kazi ya Manchester United ni ya kujuana na hili ndiyo tatizo kubwa kwetu, Ferguson kuwa kwenye board na ku influence maamuzi huyu mzee atuachie timu yetu

Huwezi kumpa muda mtu ambaye hana skills

Daemusin msikilize Huyu bibi aliongea maneno hayo Muda sana na haya mambo yanatokea
Your browser is not able to display this video.
 
Sikubalini nawe kuwa Conte amespend sana akasababisha madeni makubwa akiwa Inter, wachezaji walionunuliwa kwa hela nyingi ni Lukaku £75m ,Barela Hakimi £36m na wamewauza kwa faida kubwa baada ya miaka 2 tu Lukaku £97m Hakimi £51m ,valuation ya Barella kwa sasa si chini ya £60m wachezaji wengi walikuwa wa bei chee Vidal,Sanchez,Kolarov,Godin walikuwa free agents huwezi linganisha na wachezaji walionunuliwa na United kipindi hicho .Wakati OGS anapewa kazi ulituambia anarudisha DNA ya United lakini its almost miaka 4 amefeli .I think United need changes from the management na wanahitaji kocha ambaye anaweza kuwaeleza ukweli
 
Ole hajafeli kurudisha DNA Ya man Utd, tuna wachezaji Kila idara ambao wana hadhi ya Kuchezea Man utd, Mseme kwa mambo yote ila Rebuild yake ni Nzuri.

Kuhusu Conte huu usajili wake wa mwanzo inter
-2019/2020 katumia €199m
-2020/2021 katumia €108

Ukumbuke wamiliki wa Inter wamepigwa Pini na serikali ya China kuspend hela Nje ya nchi Yao hivyo ilibidi hela za usajili zitoke ndani ya Club. Na inter si timu tajiri yenye uwezo wa kuspend na kutoa almost Euro milioni 300 ndani ya misimu miwili, hivyo ikaingia deni kubwa sana.

Ndani ya miezi 18 inabidi Inter wa raise Euro milioni 360 ama itabidi club iuzwe, situation yao si tofauti na Barcelona kivile.

Na hizo data ni usajili tu bado mishahara mikubwa
 
I think UNITED DNA is WINNING SPIRIT na mbayo siioni sidhani kama DNA ya UNITED ni kununua wachezaji wa miaka 34/36 kitu ambacho makocha waliomtangulia walikifanya wakatukanwa kuna some players hawako comfotable na OGS but ni ngumu kuyasikia haya sababu OGS ni united legend na washkaji zake wake (Neville,Scholes,Rio) wana influence kubwa kwenye media kubwa za UK,i think leo umeanza kusikia baadhi ya issue kuhusu Bailly,Lingard,VDB

I agree issue ya financial kuhusu Inter but Wachina wakati wananunua timu waliwa-promise watatoa hela ya usajili mwanzoni na hawatauza key players (Hakimi,Lukaku,Lautaro,Barella) baada ya kuchukua ubingwa tu wakawageuka na kuamua kuwauza.Sidhani kama United ina tatizo la fedha kama kumbuka OGS ameshatumia Euro450+ na ukija kwenye wages huenda kiasi wanachotumia United kinaweza kuwa hata mara 3 ukicompare na Inter
 
Solskjær has been given three games to save his job as #mufc manager. United executives are keen to give themselves time to decide Solskjær's fate but a change may be made before the international break #mulive
 
At last Good news kwa sisi mashabiki ndaki ndaki wa Olesendeka mitano tena
Solskjær has been given three games to save his job as #mufc manager. United executives are keen to give themselves time to decide Solskjær's fate but a change may be made before the international break #mulive
 
Sir Alex Ferguson, Ed Woodward and Richard Arnold are supportive of Ole Gunnar Solskjær continuing as #mufc manager, though the final decision rests with Joel Glazer.
 
Bado hajafukuzwa tu ...

Au mnasubili man city tuje tuwapige goli 8-0 ...

Kama Liverpool kawala kibogo ,sisi tunawageuza kifo cha mende - mbuzi kagoma kwenda ukuni unazamaaaaa ndani na kupiga golii halali 5-0....
 
bibi ameongea maneno mazito kuliko hata simulizi za kila siku za gary neville, paul scholes, hargreaves.
bibi ana uelewa mkubwa sana wa soka.
amenishangaza sana
respect kwake
MIMI NACHUKUA MANENO YAKE YA KATIKATI ANAKWAMBIA OLE WILL NEVER WIN ANYTHING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…