Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney's 2nd equaliser

BaZ4ElCIUAAD2HP.jpg:large

BaZ4ArdCQAEdiDq.jpg:large
 
Rooney n Vidic ndio walioonyesha umuhimu wao Leo walikuwa makini uwanjani. Kipointi sio kibaya kwa United.
 
United siipendi ila wanaosoma United kabebwa Penalt maybe watizame vizuri ujinga ni wa Lloris kipa wa Totenham angetulia alipo United wasingepata Penalt ukiitizama miguu wa nyuma wa welbeck aliugusa na gloves zake hakupata mpira.
 
Kwenye soka hakuna timu isiyobebwa,tatizo wengine hawabebeki na watu wamekariri kuwa Man United wanabebwa ,mfano Chelsea amebebwa game 2 ambazo zote ilibidi afungwe lakini hakuna mtu ambaye anazungumzia hilo
 
United siipendi ila wanaosoma United kabebwa Penalt maybe watizame vizuri ujinga ni wa Lloris kipa wa Totenham angetulia alipo United wasingepata Penalt ukiitizama miguu wa nyuma wa welbeck aliugusa na gloves zake hakupata mpira.

It is true mkuu....Welbeck tayari alikuwa ashabanwa na beki wa Spurs,hakukuwa na haja ya Lloris kutoka golini..
Ni penati halali kabisa.....Halafu Spurs watafute kipa mwingine Huyu anafanya uzembe sana...
 
Hongereni at list mtapanda Hadi nafasi ya saba...

Poormunure ...
 
Congrats for another single point in your bag
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Congrats for another single point in your bag

hehehehehe......!

article-2322394-19B70022000005DC-488_634x626.jpg

....Jamani ee, I think it's the best time to say Goodbye sasa
maana
#Chelsea na #ManCity ndio haooo....nyie endeleeni kukalia "kuti" huko
nafasi ta Nane!

EVERTONUNITED WAKUBWA NYIE!
 
Ilikuwa tofauti ya point 5 kutoka aliyepo kileleni, zikafika 7 na sasa ni 9, duuh! Hatari saaaana!? Sijui J5 Graph hii itakuwaje?
 
Back
Top Bottom