Liverpool wametuheshimu sana baada ya kutupiga mkono walikuwa wanauwezo wa kutuchomoa kwenye kale ka bus uchwara tulikoweka na kutuchapa hata 8 baada ya pogba kupewa umeme kifupi hamna kocha hapa
Kadi ya pogba siwezi kumlaumu kocha bado anabeba lawama kwa ile sub ya kipuuzi ushaliwa nne kipind cha kwanza unataka nn kwa mtu alikuzidi kila kitu?
Mm ningetia bailly na dalot tu