Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manguire ni tatizo kubwa sana,kibaya zaidi bei tuliyotoa na kiwango chake havina uhusiano.
Tatizo cocha acheni kulaumu wachezaji.Yule ole sendeka kazi yake nini, kufeli kwa timu ni kocha, msijitie ufahamu Manu fans
 
Kilichobaki ni kesho tukutane na breaking news otherwise matokeo haya yataendelea kutuandama sana.

Fikiria kama Leceister anatupiga nne wengine hawa ilikuwa ni zaidi.
Team ipo exposed sana tena sana sijui kama huwa wanafanya mazoezi.
Hawezi kufukuzwa ana saidiwa na class of 92 halafu hawasemi vibaya wamarekani
 
Kocha tatizo nyie mashabiki wa Manu, kama hamuamini muacheni ole hadi mech totemuone aibu mtakayopata.Wiki ijayo msiposhinda mnaingia below 10 mark mi words
Saiv sioni timu ya kuifunga kwa ile beki ya shaw na maguire yaani mech zote za vichapo na magoli humkosi shaw na maguire hapa maneno ya muorinho kwa shaw yanaishi
 
Yani Sasa hivi timu yetu ni matope haswaaa,hamna kitu Yani leo hii ndo Mara yangu ya Kwanza kuangalia mechi ya man u live kabisa,sijui kwann Leo imeniangukia hovyo hivi...
 
Utie Eric na Dalot wa Nini huku Liverpool wamekuheshimu mkuu😂😂.

Liwa ✋ mandazi nyie.
 
Hii timu inatia aibu sana, kuanzia leo sitashabikia hii timu mpaka kocha aondoke mana haiwezekani una kikosi kama hiki na bado hueleweki unacheza nn, so mashabiki wa man u kwaherini mpk huyu mbwa wa double pivot akiondoka.
Wewe kumbe sio shabiki wa kweli, huwezi ikimbia nyumba yako iteketee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…