Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mpuuzi kaandika eti wachezaji wana mgomo


Yan kuna vichwa panzi bado wanaamini, bisaka, magwaya, Fred, lindelof, shaw, cr7, n.k
Wanaweza kutoa kitu kikubwa zaidi ya hapo

Tukutane second half, hii ni bao moja zito
 
Kuna yule mwenye vi-rasta wakuitwa Zapata yuko bench, Halima Gwaya ajiandae.
 
Labda wanasikiliza ushauri wa Fergie

They hope to get another Ferguson

Zama zimebadilika sana siku hizi
Hii habari ya united way na manchester DNA inatakiwa iishie hapa. Tunahitaji mataji na sio utamaduni ambao hata hauna miaka 30+ wakati timu ina miaka zaidi ya 100+
 
Daemusin Chief Mkwawa nafikiri hoja zangu namba 5 na 6 zimeanza kutupa majibu mapema sana.

Pamoja na mapungufu yetu ya kocha na kukosa muunganiko wa maana Ronaldo kwenye kikosi chetu ni tatizo la tatu.


Nimeacha rasmi kuangalia match za Man United toka game ya Leceister City.

Kama Chusa alishaacha kuangalia mimi ni nani ???
 
Rashidi makame humuoni anavyofanya upuuzi wake tuliouzoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…