Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ole ataendelea kuwepo ,hakuna mabadiliko yatakayofanyika na unategemea kufanya vzuri mbeleni ,mkuu niseme tu hujielewi na akili hauna ,may be unaangalia mpira live score ,United ya Sasa haina uhakika hata wa kumfunga Brighton niamini Mimi ... ...


Muda umeshasema kuwa ole ni kirusi ,lakini hicho kirusi bado kipo ,then bado unategemea miujiza ...


Mkuu bado unaamini ole ana uwezo kweli wa kushindana na klopp ,TT na pep kuchukua epl ????


Au unaimani gani hio mzee,ole sio kocha ,na huu msimu hatachukua kombe lolote ,atapigania kubaki top 4 na ndio itakuwa mafanikio yake .....
 
Asante,
 
Hata Brighton wanatumia 3-4- kwenye build up play, leicester walitumia 3-2- vs united. Mikel & Ole's system 4-2-3-1 inaonekana kwa sasa haijaAdapt against team zinazobuild up na back 3
 
Neville yupo correct, imbalance and tactical issues inatokana na kuwa na two free players on the pitch, press haiwezi kuwa well structured, kama timu ina matatizo kwenye transition na haiwezi kukeep the ball lazima uumizwe tu kama Leicester walivyowafanya juzi

Ole lazima aadapt roho ya paka kusave kibarua, Ronaldo/pogba mmoja akae nje.
 
Mbna walikaa bench mechi ya everton na baada ya hapo wakasema you need to start your best players
Yaan hapo hao wapumbavu wanajiita legends wafe tu na mwenzao sendeka
 
Shida ya Manchester United ni wamiliki pamoja na uongozi mzima. Ole kama muajiriwa mwingine yoyote alipewa kazi ya kuisaidia timu kubeba mataji ila uwezo wake ndiyo umeishia hapo. Ole anatimiza majukumu yake ya kazi waliomuajiri ndiyo wana matatizo kuona mtu waliyempa kazi bado anafaa kuifanya hiyo kazi.

Hata Ole akifukuzwa bado shida ya United itabaki palepale, akija kocha mwingine akishindwa kuifikisha timu mahali bado tatizo litakuwa lilelile la kunga'ang'ania watu ambao sio sahihi.

Uwezo wa Ole ni mdogo ila yeye ndiyo ametutoa point C kwenda B ila kwa sasa tunahitaji sana mtu wa kututoa point B kwenda A. Kwa kikosi tulichonacho siyo timu ya kushindwa kushinda mechi kama ya Leicester ambao walianza ligi vibaya, haiwezekani kila timu tukikutana nayo inaoneka inacheza vizuri, haiwezekani kila mchezaji tunayemsajili akija kwetu ni average player.

Shida ya hii timu inaanzia juu, kuna shida mahali. Masuala ya kupeana kazi kwa u-legend ndiyo yanatu-cost. Pia kuwa wazuri sana kwa wachezaji kunatufanya tuwe timu dhaifu sana. Mifano hai ipo: Real Madrid ni klabu yenye mafanikio kwasababu mchezaji akishindwa kufanya vizuri anaonyeshwa mlango wa kutokea. Chelsea huwa hawajali ni kiasi gani watalipa kuvunja mkataba wa kocha, leo hii maamuzi ya Chelsea yameifanya klabu yao kurudi kwenye ramani.
 
hata kama hawataki kimfukuza kama matokeo yatakuwa mabaya itawalazimu
 
kwani tumeanza leo mbona hajashughulikia huko nyuma.
 
Ole anastahili lawama za kufa mtu tena hata kazi afukuzwe

Erick bailly mzima unachezeshaje friji maguire katoka kuumwa?

Nilitegemea bailly acheze na victor

Huyu greenwood ni mchezaj mzur ila kumpa dakika 90 ni nyingi sana kwanza mbinafsi ni heri wangegawana na lingard angeanza jessey huwa napenda sana greenwood akiingia kipind cha pili na huwa anafanya vizur

Shaw sijui nani alitudanganya bek mzur kwangu bado sana pamoja na takwimu za kutengeneza mashambuliz anazo nzur ila huwa anachomesha sana

Sasa yule mholanzi kanunuliwa wa nini?

Pogba ukimshusha CDM lazima tuyumbe kocha anamshusha pale

Ana Bruno,Pogb na Ronaldo plus ka greenwood hao wote hamna wa kukaba kwa nini usipigwe?

Muda wote kumtesa bissaka,de gea na lindelof yule maguire katoka kuumwa alikuwa hawez kufanya lolote

Ukiangalia goli alilofunga Daka mzambia frij maguire anamuangalia tu na kocha lipo limekaa bench kenge kabisa

Kuna mistake Lukaku aliifanya inter conte alimuita alimkata biti la maana sasa yule super sub anachekacheka tu mech zote rahisi kaangusha point anategemea kuamka kwa manchester city?

Manchester city,, liverpool na chelsea wanacheza mpira wa kiume na ukianza kuangalia unatamani mech iendelee
 
Ligi iliyoisha bingwa manchester city alikuwa Ole alianza vibaya na kamaliza vibaya kipi kinakupa matumaini? Kuanzia dakika ya 60 mech ya leicester city timu ilivurugika vibaya sana na hakukuwa na jitihada za mbinu za kocha kuirudisha kuwa timu inayotafuta kitu alitulia tu ina maana hakuwa na ziada ile mech naifananisha na mech ya young boys

Unaamini Ole ana mbinu? Hapana ole hana mbinu siku wachezaj wetu wakiwa na mchezo mzur wanambeba siku wakiwa vibaya kocha hana jipya
 
Kwanza kocha wetu ananishangaza sana timu inayoruhusu goli kila mech kisha ndio inakuwa timu ya kwanza ni dhahiri hamna upeo hapo binafsi tu inanipa shida je mhusika mwenyewe inakuwaje?

Conte akiwa chelsea walienda mech nne mfululizo wakiruhusu magoli alibadili mfumo chap ukawa ukuta mgumu sana ole kila mech GG kawaida sana hiyo timu gani?

Kashindwa kumtumia Telles na DVB ujio wa Varane nilitegemea hata angajaribu kumtumia na bailly ndio kwanza kakomaa na mtoto wa nyumban muingereza
 
Kinachoiponza hii timu ni wale vijana wa class of 92 wana midomo sana sio uongozi wala wamiliki kama watu wanatoa 80£ unawezaje kuwalaumu?

Gary Neville anasema conte hafai hana soka type la manchester united sasa unajiuliza kocha yupi mwenye soka la manchester united ambae hana kazi? Ukifikiria kiundani hawa wanasumbua wachezaj had wamiliki kwa ile midomo yao wanayotoa kwenye luninga had mashabiki wanatawanyika hawajui washike lipi juzi scholes anasema ole apewe muda kwa lip wameona?

Wale class of 92 wengine walikuwa makocha wametimuliwa mapema sana yule scholes kadumu wiki tu


Manchester united kwa upande wa makocha wa kulemba wanaowataka hawapo sokoni

Klopp na pep ni hao tu na kwamwe hawawez kufundisha timu yetu

Pengine wakampigie magoti mzee

Jupp Heynckes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…