Huyo anayeongoza ameshacheza na Man City,Spurs pamoja na Liverpool..Kuweni na shukrani nyie mashabiki, anaeongoza ligi ana points 16 nyie mna 14 yaani tofauti ya 2 points ndio kelele hivi?
Mchekini hii takataka kitu iloandika wewe kuku umeshindwa ndo hii takataka itaweza?Mkimkamata chelsea mumpige hadi achakae
Achana na sisi kenge majii....Sema ole ni bonge la kocha mpeni muda hata wa misimu miwili.
Ni kweli. Je, yeye pia ni mzuri?Ole hana coaching Staff nzuri
Nina mashaka sana na uwezo wa kiakili wa benchi letu la ufundi hapa Ed (japo nae ni wale wale same WhatsApp group) anapaswa hata aongeze nguvu tutafute hata kocha msaidizi mpya Mike Phelan hafai hata kipindi cha Fergie baada ya kuondoka Carlos Queiroz tulianza kupwaya hana mipango, first team coaches we all know wote ni average tu Michael Carrick & Kieran McKenna.
Double standards zilizopo ktk uongozi wa timu ni za kipumbavu sana. Louis van Gaal aliondolewa siku mbili baada ya kushinda FA.Huu mda tunaomvumilia Ole tungemvumilia Van gaal tungekua barcelona mpya ndani ya England, huyu jamaa mweupe tu eti tuvumilie anajenga timu seriously? ??
Karne hii ya 21 mnafananisha na enzi za Fergi kweli?? Timu kama Manchester united inakaa miaka mi4 bila kombe hata la ndondo cup mnataka tuvumilie nini hasa.
Hakuna kilichobadilika hii timu toka amechukua ole tunashika nafasi zile zile za Mou atleast Mou alikua anajua apambane wapi apate nini huyu masai anaruka tu na biti nothing special mpaka sasa alichofanya labda kusajili mastaa wanaokaa benchi.
Etii wanasema ligi bado heee last season tulikua no moja kwa difference ya point 10 kilichotokea tunajua sasa tuendelee kudondosha point mpaka december tutakua wa 7 huko ndo tutajua hatujui.
Timu ikionyeshwa benchi linatisha wallahi ila wakiingia ndani ya uwanja simba wa sabasaba.
Wahispaniola hawaendekezi ujinga.Barcelona muda wowote kuanzia sasa kocha wao atafutwa kazi.
Barca washasema kumfukuza kosa ni ngumu na kumbuka wapo kwenye kipindi kigumu Cha uchumi financial play inawabana wakifukuza kocha anaekuja lazima akubali kulipwa nusu ya mshahara wanaomlipa kocha wa sasaBarcelona muda wowote kuanzia sasa kocha wao atafutwa kazi.
Ongeza na Arsenal ,arsenal anapiga piga chafya kufikia mechi ya man u nadhani atakuwa na uwezo wa kula ugali wa dona na samaki +juicy ya ukwaju +energy drink .Niishie hapo tuHuyo anayeongoza ameshacheza na Man City,Spurs pamoja na Liverpool..
Baada ya game saba za ligi zijazo sio ajabu tukawa nje ya top 10.
Mchekini hii takataka kitu iloandika wewe kuku umeshindwa ndo hii takataka itaweza?Mkimkamata chelsea mumpige hadi achakae
Hongereni kwa ushindiUshindi muhimu leo.
Huyo shabiki mwenzenu mnamuelewa wenyewe.Huyu jamaa bhana
Manure 2 kwa moja dakika ya 98 ole gunnaKwan ngapi hukooooooo
Cr7 Ana mzigo namna hii??ronaldo uyu