Mkuu man united vs Everton haijawahi kuwa easy fixture toka kipindi cha Ferguson.
Hawa Everton hata kama wako hali mbaya kiasi gani wakikutana na united ni kama derby.
Tusitegemee mteremko kwa Everton, binafsi game ya Everton huwa sitegemei kushinda cause everton ni part ya Liverpool hivyo rivalry na united ni ile ile.