Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Unataka awakasirishe kina Ronaldo hawezi fanya hivo.Kama sio majeruhi kama watangazaji wanavyojaribu kuhisi,martial hakutakiwa kutoka ili sancho aingie.
Hata Cavan sioni ni kwanini atolewe timum ikiwa kwenye rythm nzuri kama ile.
Anyway,Ole ndie anajua kwanini kafanya alichofanya.
Hawa wachezaji hii mitusi mnayowatukana wangejua kwa kweli wasingekubali hahaahahaha. Ngumi zingepigwa
Ndiyo ujinga walionao vijana wa Tottenham siku hizi yani Mourinho Mtaalamu wa ukuta alichemka kabisa[emoji16]Du ole atakufa ssa beki hata cku moja kutoa clen shit hakuna
Double pivot ipi mkuu???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ole outHawa wachezaji hii mitusi mnayowatukana wangejua kwa kweli wasingekubali hahaahahaha. Ngumi zingepigwa
ππππππ
Sifa tulizompa Zinamlevya kanajikutaga kastaa.[emoji28][emoji28]Greenwood kawaje tena kwani siku hizi.nilizani ndo golden boy wenu
Mkuu watakuja badae ngoja saiz wapo kwenye kujadili CR7 Wao anawahujumu coz wanacheza pungufu na kibabu Chao cha makumbushoSaizi mnajificha kwenye mgongo wa OLE
HahahaaHuyu jamaa ka draw ila ana smile..hahah duhh #oleoutView attachment 1960336
Darmian magwaya yuko wap mkuuu angekuwepo hapo gol lisingerudi
Tukicheza 433 ndo tutafungwa mpaka basi...sasa kama wakabaji Scott na Fred wapo uwanjani..kwanini tushindwe kutumia RW LW na Fernandes kucreate nafasi za kufunga..Siku huyu mmasai wa longido akianza na 4-3-3 ndio cku atakayouona ufalme wa Mungu.
Nadhani ana maanisha ya McFred mkuu.Double pivot ipi mkuu???? πππππ