Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu wanapendekeza zidane awe kocha wa man united

mimi kwa ninavyomjua zidane uwezo wake ni mdogo sana kwa soka la England

Madrid aliikuta tu timu imetulia angalia alivyoludi kwa mara ya pili baada ya kikosi cha dhahabu kupotea alivyoboronga mimi ningependa kocha awe conte maana anauzoefu na vikosi vya kawaida.
 
Hafiki kwa Emi, jamaa ni fundi,,,refer copa America alivyokichafua babaa
Mendy mpaka sasa kacheza mechi 61 karuhusu goal 31 tu na kapata clean sheets 29 kwenye ligi ya Mabingwa ya msimu uliopita kwenye game 10 karuhusu goal 3 tu alafu eti umfananishe na huyo kweli?
 
Naamini magazeti ya huko yameipuuzia hii habari
 
Hata conte hatoshi, hii timu apewe kichaa Simeone wa Atletico de Madrid.
 
"Inasemekana yalikuwa ni Makubaliano yao na Timu kwa ujumla toka Chumba cha kubadirishia Nguo Kuwa Penalty taker ataendelea Kuwa Bruno labda kama Itokee Bruno kaamua Kumpatia Ronaldo."
Kwanza ilikuwaje Bruno kupiga penalty wkt cr7 yupo, mm ckuangalia hii mechi.
 
Zizo ajawai fundisha timu ya kawaida tukajua uwezo wake alivyoludi alifanya maajabu gani kwani.
Atakuambia kachukua la liga wakati aliopambana nao ule msimu wote walikua choka mbaya....
 
Huwa najiuliza sana Ole ilikuwaje akaacha kiungo mkabaji akubali kuanza ligi na fred +scott? Kipi alikiona kwa hawa jamaa kikampa majibu kwamba timu imetimia?

Ukiangalia viungo wa chelsea na city wanavyocheza wametuacha mbali sana

Narudia tena pamoja na chelsea kufungwa ila ilikuwa bonge la mech city waliwasha moto chelsea walikuwa wagumu sana

Hata option pale bench sioni mtu pengine wa kusema tuwaache fred na scott waingie bado msala.

Bado tunahitaji bahati na namna wachezaj wa hii timu watakavyoamka vinginevyo shida ipo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…