D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
wasiwasi wangu tulivyoanza mechi ya west ham ugenini ndivyo tutakavyoanza kesho.McTominay Pogba
Hapa sasa umenena, wengi tulishajua hili na bila shaka hata naye Ole anajua wazi hii inshu.Ronaldo atamfukuzisha kazi sosha
Most definetely..Ole hawezi kuachana na McFred...lakini mimi ningeanza kama nilivyokipanga hicho kikosi.wasiwasi wangu tulivyoanza mechi ya west ham ugenini ndivyo tutakavyoanza kesho.
namuona sancho akianzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na pogba
fred na scott kuanza pamoja eneo la midfield.
Yaani unajisahaulisha kocha wako mzee wa double pivot fred na scotMY STARTING XI vs ASTON VILLA KESHO
=====
De Gea
AWB Varane Maguire Shaw
McTominay Pogba
Greenwood Fernandes Sancho
Ronaldo
======
Coach: Ole Gunnar Solskjaer(Msimamizi wa Jogging)
Moja kati maamuz mazuri( kwa Club na Lukaku mwenyewe) , OLE aliwahi fanya nikumruhusu Lukaku kuondoka Man U.Niliwahi kusema, kumuondoa Lukaku ni kosa la wazi tulilifanya.
Akaja Chief Mkwawa akaniambia Martial na Rashford ni aina ya wachezaji Ole anawataka kwenye mfumo wake.
Mpaka sasa Martial na Rashford kwa pamoja hawana magoli sawa na Lukaku.
Na Ole ndo ameonekana kituko.
Alikua mzigo kwa kweli alipoenda inter alirekebisha makosa yake na naamini hatoyarudia tena maishani mpaka anastaafuMoja kati maamuz mazuri( kwa Club na Lukaku mwenyewe) , OLE aliwahi fanya nikumruhusu Lukaku kuondoka Man U.
Tatizo binadamu ni wasaulifu sna.
Sure, lukaku alikuwa amesha poteza kujiaminiMoja kati maamuz mazuri( kwa Club na Lukaku mwenyewe) , OLE aliwahi fanya nikumruhusu Lukaku kuondoka Man U.
Tatizo binadamu ni wasaulifu sna.
Hiyo £80 ukienda Ureno unarudi na kikosi kizima chenye vipaji kama cha Bruno.
Kumuamini Martial na Rashford kuwa replacement ya Lukaku ulikuwa uzwazwa wa wazi. Hata mtoto wa std 7 alikuwa anajua hilo.Moja kati maamuz mazuri( kwa Club na Lukaku mwenyewe) , OLE aliwahi fanya nikumruhusu Lukaku kuondoka Man U.
Tatizo binadamu ni wasaulifu sna.
Ningemuweka Lingard for SanchoMY STARTING XI vs ASTON VILLA KESHO
=====
De Gea
AWB Varane Maguire Shaw
McTominay Pogba
Greenwood Fernandes Sancho
Ronaldo
======
Coach: Ole Gunnar Solskjaer(Msimamizi wa Jogging)