Conte yupo mkuu, na ni mtaalamu sana wa vikosi vilivyojaa master.Huyu Ole ni kama vile anawaogopa wachezaji, mbinu zake ni zilezile zimekaririka,hii ni mechi ya 3 nachunguza kila team inayokuja kuchezwa na UTD inakuja na mfumo wake double pivot ila yeye hashtuki. Anzia mechi ya Young boys mpaka hii ya jana makocha walimkabili Ole kwa huohuo mfumo wake wa double pivot kitu ambacho hawakifanyi kwenye mechi zao nyingine (wanacheza huo mfumo wakikutana na OLE tu).Tulikosea sana kumuacha ancelloti aende madrid
Mimi naanza kuamini anafanya ivi makusudi ili afukuzwe unaweza kukuta nayeye amechoshwa na yanayoendelea huko ndani ambayo hatuyajui...Conte yupo mkuu, na ni mtaalamu sana wa vikosi vilivyojaa master.Huyu Ole ni kama vile anawaogopa wachezaji, mbinu zake ni zilezile zimekaririka,hii ni mechi ya 3 nachunguza kila team inayokuja kuchezwa na UTD inakuja na mfumo wake double pivot ila yeye hashtuki. Anzia mechi ya Young boys mpaka hii ya jana makocha walimkabili Ole kwa huohuo mfumo wake wa double pivot kitu ambacho hawakifanyi kwenye mechi zao nyingine (wanacheza huo mfumo wakikutana na OLE tu).
Sjui kwa nini huwaal simuamini sana. Conte alikuwepo wakati ole anaongezewa contractTulikosea sana kumuacha ancelloti aende madrid
Man u na wao wana kikosi B kumbe..!?
Yu noo the bois a doingi pretty well andi we a improving u noo so next match we will try to be more aggressive im hapi withi my team and my Name is Ole Sendeka.
na mikeka ikizidi kuchanikaCarabao OUT ...
UEFA hili kombe hamuliwezi Bora muende mapema Europa kama mnataka kupata hata sahani huu msimu ....
EPL ,hili kombe hamliwez kabisa kwan hamna pumzi ya kupanda mlima wa game 38 mbele ya city ,chelsea na Liverpool ...
FA ,hili kombe ole angeweza kuwapa ,ila tatizo Hana mbinu za kuamua ushindi pindi ushindi unapohitajika kwa namna yeyote .....
Msimu wa nne loading without trophies huku wachezaji wakilipwa mishahara minono na mtumizi ya zaidi €1 billion ,
Huwezi ukawa unafuatilia mpira halafu ukauliza swali kama hili. Labda uwe unapenda tu kuangalia mechi ila haujui kama kuna makocha wazuri na wengine hawana timu.
Ndiyo maana nasema kama unafuatilia mpira kuna vitu ukiuliza vinafanya ujifafanue wewe ni wa aina gani.Hao makocha wazuri ni akina nani hao hebu taja hata wawili basi!
Ole wakati anaanza kufundisha kwani alikuwa mbaya?
Ina maana nechi zifuatazo kama timu itaanza kufanya vyema chini yake utaendelea kusema afukuzwe?
Safi sana mpaka shabiki wa Arsenal anaona hatuna kocha.Ndiyo maana nasema kama unafuatilia mpira kuna vitu ukiuliza vinafanya ujifafanue wewe ni wa aina gani.
Ni kawaida timu ikipata kocha mpya au mchezaji mpya kuperform. Baada ya muda inarudi katika level yake, ole alivyofika united ilikua hivyo, lampard alivyofika chelsea ikawa hivyo, emery alivyofika Arsenal ikawa hivyo, James Rodrguez na Carlo walivyofika Everton ikawa hivyo the list goes on and on.
Watu wakisema kocha fulani hafai hii inamaanisha wanaona kocha yupo kwenye timu yenye facilities wezeshi, kikosi kizuri na financially strong ila hafikii lengo. Mfano Ole amekua akipoteza nusu fainali mara nyingi mpaka imekua signature yake.
Hapo ni ukilinganisha na timu zingine unaona hizo timu zingine zina kikosi cha kawaida ila kocha ana mbinu za kukabiliana na wapinzani. Mfano Lyon imechukua kombe mbele ya psg, hapo tunaona kwamba kocha wa lyon (ingawa kahama) ni trophy oriented na anafaa, Conte amechukua scudetto na Inter ambayo mastar walikua forwards Lukaku na Martinez, wengine ni wa kawaida.
Conte alikataa kazi ya Spurs kwakua spurs walisema hawana mpango wa trophy hivi karibuni. Kuna wakina Erik Ten Hag, the list goes on. Hii inamaanisha kuna baadhi ya makocha wakikabidhiwa kikosi cha united na full support ya bodi kuna matokeo zaidi ya sasa yanaweza kupatikana.
Kocha wa kawaida ni wa kawaida tu. Muangalie Pochettino anavyostruggle na PSG yenye mastar kuanzia chini mpaka juu na huku yupo farmers league.
So wewe ukiuliza aje kocha gani mi nachukulia haufuatilii mpira ila hua unaangalia mechi. Pamoja na yote hayo, jana Ole ilibidi afanye rotation isipokua amechelewesha sub (tatizo lake kuu) pia mimi sishabikii united.
Aibu kwa soshatokea united ilipomuuza lukaku na kumkabidhi jezi namba 9 anthony martial, romelu amefunga magoli 87 huku martial akifunga magoli 31.
takwimu hizi ni kwa mujibu wa muandishi anayeitwa samuel luckhurst