Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnaohitaji link ya mechi hii hapa ya Twitter, hakuna lags ni ku-enjoy soka mwanzo mwisho.

Tukiongea tunaonekana ni plastic fans wa Man United, haya mashabiki original furahieni na Ole wenu.
Kwani Ole kafanya nini tena leo? Mbona kaweka kikosi kizuri tu au kisa tumefungwa?

So far tumecheza vizuri, tumekosa tu magoli. Lile goli ni uzembe wa wachezaji wetu kushindwa kum-mark Lanzini na kumuachia space kubwa peke yake.

Hii mechi wachezaji wetu wakitulia tunashinda dk 90 na ikiwa ngumu sana droo inapatikana.
 
Lingard saidia muzee yako Ole tusiaibike Leo.
Acha inyeshe tujue panapovuja mkuu, maana watu wakishinda wanajiaminisha kuwa Man U ina kocha.

Ukifikiria kwamba sikuizi Man U imekuwa yakutokea nyuma kila siku Ili update eidha droo au ushindi, unaona kabisa kikosi tunacho ila tuna kocha kiazi pale EPL.
 
Mi namsubiri mkali wangu Greenwood aje kuwaonyesha watu wanafungaje hawa vijana. Ole sitaki kumuongelea kabisa hapa plastic fan mimi.
 
Kinachonikasirisha kutoka kwa kocha ni hiki?.

Yupo yupo kakunja nne, maforwards hawakabi aggressively ili kuharibu mentality ya wapinzani, kingine baki pass nyingi si aamke akemee backpassing.

Kikocha moja ovyo.
 
Kwani Ole kafanya nini tena leo? Mbona kaweka kikosi kizuri tu au kisa tumefungwa?

So far tumecheza vizuri, tumekosa tu magoli. Lile goli ni uzembe wa wachezaji wetu kushindwa kum-mark Lanzini na kumuachia space kubwa peke yake.

Hii mechi wachezaji wetu wakitulia tunashinda dk 90 na ikiwa ngumu sana droo inapatikana.
Ni sawa kabisa mkuu tuendelee kuwa wavumilivu kwakua ni kawaida yetu kutokea nyuma kula mechi Ili tupate drop au ushindi, ni kawaida kabisa kukosa cleanshit kila siku hata kama tunacheza na mid-table team.

Ole ni bonge la kocha, tunafungwa kwakua kikosi Chetu hakina wachezaji makini, wanafanya makosa sana, Ole hahusiki kabisa.
 
Kinachonikasirisha kutoka kwa kocha ni hiki?.

Yupo yupo kakunja nne, maforwards hawakabi aggressively ili kuharibu mentality ya wapinzani, kingine baki pass nyingi si aamke akemee backpassing.

Kikocha moja ovyo.
Mkuu, wanasema Ole ni bonge la kocha..!
 
Kocha hatuna timu inahitaji matokeo yeye kakaa tu hata kuamsha amsha hana kufanya sub hakuna
 
Kinachonikasirisha kutoka kwa kocha ni hiki?.

Yupo yupo kakunja nne, maforwards hawakabi aggressively ili kuharibu mentality ya wapinzani, kingine baki pass nyingi si aamke akemee backpassing.

Kikocha moja ovyo.
Kumbe hata huko Mwanitesa mnakasorishana hivyo??

Mimi nlidhani ni Arsenal tu ndio hatuna raha kumbe hata nyinyi wenzetu
 
Back
Top Bottom