Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Muda huo anapigwa 5-2 alikuwa ana muda gani na timu ya Chelsea, yani akisajiliwa kuwa Kocha Mkuu wa Chelsea FC?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Atkinson continues to be the worst ref in the prem,penalt mbili za wazi kabisa tumenyimwa,and where the fu.ck was VAR?.
Nilimsikia Richard Keys (commentator) jana akisema Martin Atkinson doesn't like his decisions questioned.

Refa aliyekaa ktk VAR anaitwa Lee Betts, ni kijana kwake. Haikuwa rahisi kumsikiliza alimwita baada ya ile tackle ya Kurt Zouma ila akaleta ego za kifala.

Kama CR7 ali-dive kwa nini hakutoa kadi? Hapo ndio utaona kuna virefa vibozo bozo vina ajenda binafsi za siri.
 
Inamaana siku hizi Mashabiki wa Man United ndiyo wameambukizwa uvumilivu wa Kocha hata akiwa mbovu kama Mashabiki wa Arse8


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Martin ni mpumbavu kweli..the worst ref in the league indeed.
 
Mzee mmepigwa na kutapeliwa haswa mcheki anachoka Sana,, mcheki second half anavyotoa ulimi nje,,that why goli mostly anazibahatisha first half ..ni geresha lile we subiri mpaka mwisho was msimu atakanyo data na epl , epl sio ligi ya wazee ile
Kwamba ndo unamjua cr7 au sio
 
Hii komenti ni ya kikuda sana huyo ambaye unamuona si mwanaume mpambanaji alianza kukipiga EPL kipindi ambacho Man City ilikuwa ni timu ya kifara na kabla ya pesa za mafuta.
 
Inamaana siku hizi Mashabiki wa Man United ndiyo wameambukizwa uvumilivu wa Kocha hata akiwa mbovu kama Mashabiki wa Arse8


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kuna baadhi ya wapumbavu, kwao Ili uwe shabiki mzuri wa team fulani hautakiwi kufanya critisism hata kama team haiko vizuri, yani inatakiwa usifie tu.

Wao wanataka tusifie tu, uliongea kidogo unaitwa plastic fan.Hivi kwa mtu mwenye akili anaweza kukaa kimya kwa hii United inayoelekea kuwa team ya kawaida kama Tottenham na Arsenal kwamba iwe ya kutoa tu chamgamoto ila ubingwa hakuna.Huu sasahivi ni mwaka wa nane tunaelekea wa tisa bila kombe ila ukongea unaoneka eti plastic fan.

Ole sio kocha yule tukubaliane tu, kikosi ni Mkoko lakini hatutaamini mwisho a msimu tunatoka bila hata kombe kama uliopita.
 
Tuombe tu uzima maana muda huwa ni rafiki mzuri kutoa jibu sahihi.

Sijui kwanini bodi ya Man Utd imekuwa na uvumilivu kwa Ole kwa zaidi ya miaka mi4 bila kombe lolote ilihali makocha kama MOURINHO iliwatimua kwa muda mfupi tu japo ilipata kombe la Uropa na kuingia top 4 kwa kuwa nafasi ya pili.

Wakati mwingine kukariri kila Ligend anatakiwa awe Kocha mzuri ni mateso yasiyovumilika.

Ndiyomaana Chelsea ilimvumilia Lampard lakini alipochemka ilimtimua na kupata kombe la UEFA.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ni wapuuzi tu ndo wanaoweza kusupport huu utumbo wa kocha tulie nae.
 
Unapata wapi ujasiri wa kuita mashabiki wenzako wapumbavu.?
 
Hii komenti ni ya kikuda sana huyo ambaye unamuona si mwanaume mpambanaji alianza kukipiga EPL kipindi ambacho Man City ilikuwa ni timu ya kifara na kabla ya pesa za mafuta.
Narudia tena Kama ronaldo hawezi kufunga ,Basi akae bench sio kuaanza kujigongesha kwenye miguu ya wanaume kutaka penalty...!



Hakuna penalty nyepesi itakayotolewa huu msimu


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…