Hiyo sio sababu mkuu! Kwani hakupewa hela ya usajili!?. Alitaka winga wa upande wa kulia. Kuna mechi majuzi akampanga kushoto.Kumbuka pia kikosi alicho Pokea TT kutoka kwa Lampard na maingizo yake Alaf rudi kwa kikosi alicho pewa Ole kutoka kwa Mourinhol kikosi cha martia tozi hana mpimzani kwenye namba yake
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
We jamaa bhnHiyo sio sababu mkuu! Kwani hakupewa hela ya usajili!?. Alitaka winga wa upande wa kulia. Kuna mechi majuzi akampanga kushoto.
Mech nyingi sana tumefungwa kipind cha kwanza cha pili tumeshindaKwamba ole hakuna game alio kua down au level first half akaja kufanya sub na kuchange formation second half akapata matokeo ?
Ama unataka nikuhesabie ?
Ya kwanza ni hii ya leo vs Westham
Watu wakiamua kukusifia wameamua tuu! ila pale EPL hakuna kocha mwenye comeback nyingi kumzidi Ole ..
Pia hakuna Sub zenye Goal involvement pale EPL zaidi ya za Ole ...
Twende na takwimu chungulia picha hapo chini
Kuhusu game changing second half na comeback sina haja ya kukuletea takwimu manaa kama unafatiliaga mechi basi unalijua hilo..
Huyu Tuchel mnae msifia aliishindwa PSG yenye Potentila kuliko United ya Ole na walikutana aka M'outclass akiwa na kina Chong na Perreira unakumbuka????
Au umekatwa kichwa ??View attachment 1945446
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Si mtetei ole kwamba kocha mzur hapana kuna muda timu unayocheza nayo wanakamia gemu kuna wachezaj wanajiweka sokoni ili watoke wale young boys hata kumfunga fc basel ni mtihan au fc zurich huwa mbinde angalia walivyopandisha viwango tulipokutana nao yule Elia alikuwa wa moto anataka kutoka uje kwenye timu ya Moyes unafikirHiyo sio sababu mkuu! Kwani hakupewa hela ya usajili!?. Alitaka winga wa upande wa kulia. Kuna mechi majuzi akampanga kushoto.
Upo sahihi mkuu! Ila nilikuwa najaribu kujibu hoja ya mwanaspotiapp kuwa TT timu aliyoikuta na sijui ingizo alizoziingiza, akijaribu kulinganisha na Ole. Naamini wewe mwenyewe shuhuda, wakati tunatarajia kupunguza wachezaji mzigo, mara tukaona Phil Jones ameongezewa mkataba.Si mtetei ole kwamba kocha mzur hapana kuna muda timu unayocheza nayo wanakamia gemu kuna wachezaj wanajiweka sokoni ili watoke wale young boys hata kumfunga fc basel ni mtihan au fc zurich huwa mbinde angalia walivyopandisha viwango tulipokutana nao yule Elia alikuwa wa moto anataka kutoka uje kwenye timu ya Moyes unafikir
Declan Rice,Soucek na Bowen wanapenda kubak west ham? Mech huwa sio rahisi hasa top team zinapokutana na underdog
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukubali tuu! Benchi letu la ufundi ni goigoi.We jamaa bhn
Timu yetu ilivurugika sana tena sana kupata timu yenye uwiano sahihi ilikuwa kazi sana labda tungepata kocha kama klopp au pep wazoefu tungeweza kurudi haraka sosha hakuwa na ujuzi saana ila kajitahidi kumuongeza phil jones mkataba ni mipango tu mkuu kutimua wachezaj kama van gaal ilikuwa haina tija tuliyumba sana aliuza wachezaj wengi sana ambapo wangemsaidia mwisho wa siku akaanza kuchukua wakina fosuh mensah kazi ikawa ngumu zaidi naona kuwaacha ni mkakati mourinho alipochukua timu alizungumzia sana kuuza wachezaj kwa pupa nae ilimsumbua sanaUpo sahihi mkuu! Ila nilikuwa najaribu kujibu hoja ya mwanaspotiapp kuwa TT timu aliyoikuta na sijui ingizo alizoziingiza, akijaribu kulinganisha na Ole. Naamini wewe mwenyewe shuhuda, wakati tunatarajia kupunguza wachezaji mzigo, mara tukaona Phil Jones ameongezewa mkataba.
Easy sana kujua kama yupo ama hayupo, unapitia tu ubaoni.Shabiki wa Chelsea, nawasalimia kwa jina la Thomas Tuchel.
Namuulizia Ronaldo kama yupo 😁😁
Hadi wakati aliposign na kuja na kauli yake ya kutengeneza timu ambayo wapinzani hawatopenda kukutana nayo mkambeza na kusema hii EPL anafikiri yupo farmers league na atatimuliwa mapema sana....sasa tulieni dawa iingie kachukua uefa. Na.sasahv yupo n mission ya EPL ...Huyu Tuchel, Rent boys watamkataa muda si mrefu!
Muda mwingine tujifunze ku appreciate watu.Mpira ulipoisha jinsi OGS alivyokimbilia kwa wachezaji unajua kabisa hakuwa na plan kichwani ila alisubiri miujiza kama ya leo ambayo haitokei kila wikiendi
SawaHadi wakati aliposign na kuja na kauli yake ya kutengeneza timu ambayo wapinzani hawatopenda kukutana nayo mkambeza na kusema hii EPL anafikiri yupo farmers league na atatimuliwa mapema sana....sasa tulieni dawa iingie kachukua uefa. Na.sasahv yupo n mission ya EPL ...
Watamkataa akiwa amewapa mafanikio ya Ultimate kwhy kwa Chelsea itakua kwao ni win situation ndo maana unaona Falsafa ya Chelsea ya kufukuza na ajiri mwngne inawasaidia had kwa ss kua team kwny modern era yenye mafanikio.Huyu Tuchel, Rent boys watamkataa muda si mrefu!
SawaWatamkataa akiwa amewapa mafanikio ya Ultimate kwhy kwa Chelsea itakua kwao ni win situation ndo maana unaona Falsafa ya Chelsea ya kufukuza na ajiri mwngne inawasaidia had kwa ss kua team kwny modern era yenye mafanikio.
Sasa nyie na Ole wenu mtakuja kushtuka kumfukuza akiwa amefanya tyr matumiz mabaya kbs ya hichi kikosi alichonacho hajapata kitu...Ole ana uwezo mdg sana wala ilo halihitaj kua hata na akil timamu kulijua ilo kwa kikoso hiki mpe Hata Conte anakuletea ubingwa anakuwekea hapo..Man U wasipokua makin kufny maamuz mapema msimu huu utakua kama uliopita tu same old stories.
Timu ina kasi sana kwenye kushambulia ila ndio ikiamuaIfik
Muda mwingine tujifunze ku appreciate watu.
Game ya jana OGS kafanya sub ya pogba kaingia Lingz ambae aliirudisha timu mchezoni na kufunga goli.
Iweje useme hakuwa na plan? Ulitaka awe na Plan dakika ya 90 shaw aliposhika mpira?
Napokubaliana na wewe ni team bado haina kasi kwenye mashambulizi.
Wewe piga kelele hapa sijui nn.Kwamba ole hakuna game alio kua down au level first half akaja kufanya sub na kuchange formation second half akapata matokeo ?
Ama unataka nikuhesabie ?
Ya kwanza ni hii ya leo vs Westham
Watu wakiamua kukusifia wameamua tuu! ila pale EPL hakuna kocha mwenye comeback nyingi kumzidi Ole ..
Pia hakuna Sub zenye Goal involvement pale EPL zaidi ya za Ole ...
Twende na takwimu chungulia picha hapo chini
Kuhusu game changing second half na comeback sina haja ya kukuletea takwimu manaa kama unafatiliaga mechi basi unalijua hilo..
Huyu Tuchel mnae msifia aliishindwa PSG yenye Potentila kuliko United ya Ole na walikutana aka M'outclass akiwa na kina Chong na Perreira unakumbuka????
Au umekatwa kichwa ??View attachment 1945446
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mzee mmepigwa na kutapeliwa haswa mcheki anachoka Sana,, mcheki second half anavyotoa ulimi nje,,that why goli mostly anazibahatisha first half ..ni geresha lile we subiri mpaka mwisho was msimu atakanyo data na epl , epl sio ligi ya wazee ileHivi bado kuna watu wanaosema usajili wa cr7 tumepigwa