Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi sitoacha kuwaombea njaa, Pep anafuata safari hii anarudisha heshima. Hiyo game nitaomba droo tu.

Leo tungedroo halafu mkashinda ningeumia sana, katika rivals siwapendi ni Liverpool na nyie takataka za London.
Hahahaha utaomba njaa hadi ije ikuume wewe mwenyewe ..usiyempenda kajaaa ..uyo city kama aston villa tu keshachezea ukuni Mara tatu bado nyie manyumbu na MNA bahati leo lukaku ajaingia nyavuni hahahaha
 
Spurs kala tatu na mpira mwingi kapigiwa msako mwanzo mwisho
 
Hawawezi kukuelewa team Ole.
 
VAR decision this tym sio sahihi. Clear kabisa CR7 alizidi mkono. Mdogo mdogo mnaanza kubebwa.
1-1
Aaah na wewe, Kwani mkono nao unacheza mpira?
Viungo vinavyohesabika vikiwa offside Ni vile ambavyo hata vikigongwa mpira ukaingia wavuni linahesabika goli..
 
Tatizo la fan wa man united ni moja team inapo pata matokeo basi ni Quality ya wachezaji ila inapo enda tofauti kocha mbovu hata kama ni uzembe wa wazi wa wachezaji .

Mfano game ya Young boyz ni Wan bissaka ndio ali haribu game pengine ni bahat mbaya ila watu lawama kwa ole mara sub mara ivi na hasa sub ya lingard kwa ronaldo ndio watu waliiponda sana kisa jesse ali alichoma

Leo tuko sare game 1-1 anafanya sub jesse yule yule anaenda kutia kamba team inapata matokeo watu wanakwambia kikosi kina watu wanapa matokeo ole ..
Very stupid argument ...

Hiki kikosi katengeneza nani ?
Sub anafanya nani ?
Mifumo ya hao wachezaji anatengemeza nani?

Inamaana hamjui kama best player under bad coaching wanakua average kama sio poor
..

Man united wakati Ole anapewa ilikua na kina felaini ,smaling ,young ,Linderloaf ,lukaku,Perreira,martial huyu ambae ana tuboa ndio alikua mungu mtu..

Mnazingua sana kuna mda muwe realistic ole hajawahi kutoka top 3 full season zake zote japo hakua na forwad anae fikisha hata goli 15 per season ...

Ole kamfunga sana Pep huyo mnae muimba ,wakina anceloti sjui mou ,wakina Bielsa wote kapiga sana

Ole sio kocha bora ila sio kocha mbovu kama mnavyo sema nyimyi

mpeni kocha mnae mtaka halaf muone ...

Waulizeni Tottenham kinacho wakuta team ile wachezaji wale wale kapewa nuNo watu walio kua wana sema ni bora zaidi ya Ole na mou ila saivi watu wana jipigia tuu

Man united fan jifunzeni ku apreciate kazi anayo ifanya Ole ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…