Manchester United (Red Devils) | Special Thread

West Ham leo mmechoshwa sisi kazi ni kusaka ushindi J2.



 

Attachments

  • E_aylUCWYAUnwZ2.jpg
    60.5 KB · Views: 11
Westham come on.,..


Hii sio Newcastle mzeee ,kupitia hii game ,mtaona uozoo mwingine wa hii timu ...


Huyo mbuzi(goat) wenu atawekwa mfukoni ,hataoekana kabisa uwanjani,
 
Solskjær: "I’m not here to explain every single detail of how I want my team to play. We want a central midfielder who can play. Today’s football is about he’s a good 6, 8, 10."

[@manutd |
#GGMU
 

Attachments

  • IMG_20210917_100056_826.jpg
    20.2 KB · Views: 11
Hiyo timu sio kwamba ina pengo, Ina uwazi mkubwa sana benchi la ufundi. OGS hatoshi.
Sijui watu huwa wanatoaga wapi ujasiri wa kumtetea Ole.

Tuna kikosi kizuri sana kuliko timu yoyote ile pale ulaya ila inaongozwa na bogus.

Tutaishia kusema hivi hivi kila msimu sijui DM alihitajika sijui nani tulimhitaji. Ukweli ni kwamba tunapoteza muda na Ole.

Mapungufu ya Ole ni Game management skills - kama huna hii kitu huwezi kubeba mataji hata siku moja.

Sipendi kujilinganisha na wenzetu ila timu kama Chelsea, Man City na L'pool hawana ubora wa kikosi tulichonacho lakini wana ubora mkubwa sana ktk safu ya ufundi.

Mf. Mtu kama Tuchel sio kocha wa juu sana kama Pep ila ana game management skills ya hali ya juu sana. Jaribu ku-review mchezo wake dhidi ya L'pool (sare) na ule dhidi ya Villareal UEFA super cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…