OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
mbele ya zahera ni bonge la kochaOle ni bonge la kocha we hujui tu
Ole atafanya maajabu msimu huu, tutabeba uefa na EPL kwa pamoja.
NB: EPL na uefa ya buza
Tukimchoka ole tumpe Lampard au tumchukue Arteta ..au mnasemaje ndugu zangu..!?
kuna watu wapo Sawa kweli kichwani...? [emoji848]
Tuna kikosi kizito kwa kweli mpaka inafurahisha sasa hivi ni juu ya ole kutupa raha.
Come down Reds; it’s just the first game. We have 5 more to come.
bado safari ni ndefu, lakini tukiangalia takwimu za Ole kwenye michuano ya UEFA zinaleta ukakasi na hofu ndani yake.Come down Reds; it’s just the first game. We have 5 more to come.
Wenyewe wanasema kosi la dunia cjui Kwa kigezo gani[emoji23]Una masho, lindag, bissaka, magwaya halafu halafu una kikosi kizito hahahaha...
Hao wachezaji wangekuwa Chelsea wangeshauzwa kitambo ..rose Barkley na bakayoko wangekuwa manure wangepata namba hakika.