i hope we can cope...now its time for the likes of cleverly,anderson,kagawa,fellaini to show what they are made of!!!
Jamaa yupo kiwango sana katika kumiliki kiungo na kuchezesha timu, Pendo lake litatutesa sana hasa kipindi hichi muhimu katika kurudi kwenye nafasi ya kuongoza. Anderson namkubali japo hawezi kucheza dkk 90, Cleverly ni mzuri kwa kuwa anashambulia zaidi, Kagawa hawezi kukaba yeye ni mchezeshaji tu, Fellain ni mzuri kukaba ila ni mzito sana kwenye mechi ambayo ina kasi hawezi kabisa kucheza. Binafsi ningependa kuona Big Phil (Jonhs) kucheza nafasi ya Carrick
Mie nikimbie wakati naongoza ligi tena kwa credit what a joke! ..... .. what are you talking about? Only ------ and Mburukenges react the way you do. You can do better than that! Chacha upo nyuma hatua tano then unafikiri umetangulia, usitoroke tu maana Theo, Ox na Pod wapo njiani kurejea .... ... hapo ndipo utatambua Gunners imejengwa kwa Granite. .... .... ... chini ya prof. There is only one prof.
kuna jamaa anasema hivi "What, losing to a team fighting for 5th place? It happens, we underperformed but swe're top and frankly we've got much bigger fish to fry than Moyes' mere mortal misfits...."
Nimefanikiwa kupata softcopy ya kitabu cha SAF "My Autobiography" nimeweka attachment kwa mashabiki wa Manchester United na wengineo
kuna jamaa anasema hivi "What, losing to a team fighting for 5th place? It happens, we underperformed but swe're top and frankly we've got much bigger fish to fry than Moyes' mere mortal misfits...."
another injury blow........
Galasa hili
Cardif.....