Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kuna mawili either haumpendi OGS au haumfatilii vizur, tofaut yake na makocha wengine ipo sehem moja yeye huwa anafosi apate chaguo lake la kwanza, na kama hawez lipata dirisha hilo yupo teyar asubir hata msimu mzima (sasa hii ina mazur na mabaya yake kwa mfano enzi za Morinyo na LVG walikuwa wakikosa chaguo la kwanza wanasajili yeyote ili mradi wasajili tu, ndio tukaletewa kina Fred hapo) chaguo lake la kwanza kwa namba 9 ni Halaand na sio nje ya hapo, hope msimu ujao atampata, na chaguo lake kwa namba 6 ni Rice na yeye msimu huu tumeshindwa kumchukua sababu ya bei, ila msimu ujao atakuja tu, na kuhus benchi kuparanganyika baada ya goli la 2 hio sio kwel mkuu, kabla hata ya hilo goli OGS alikuwa anatoa maelekezo kwa wachezaj wote
 
Wakati anamsajiri Ighalo, kwa mkataba wa mwaka mmoja, on deadline day, Haaland ndio lilikuwa Chaguo lake la kwanza?
Wakati anamsajiri Cavan, kwa mkataba wa mwaka mmoja, on deadline day, Haaland ndio lilikuwa chaguo lake la kwanza?
Kamsajiri Lonardo, kwa mkataba wa miaka miwili, on deadline day, Bado Haaland ndio chaguo lake tu?

Yaani aliona bora amuuze Lukaku, amchukue ighalo wakati anamvutia speed Haaland?? kweli?

Angalia hiyo mechi marudio huoni nini kilitokea benchini tulipofungwa? labda kama hautaki kusoma body languages mkuu.
 
Ronaldo = Haaland 1000.
 
Ronaldo = Haaland 1000.
hahahaha sasa hapo utasema OLE target yake ni Haaland?

Ukiangalia mpunga anaovuta lonardo na uliotumika kumsajiri, angeweza kuwalipa jamaa 70M Pounds na akamlipa mshahara wa 300k Pounds kwa wiki kwa miaka miwili.

OLE Hajui anataka nini.
 
Ighalo na Cavan walisajiliwa kama Back up ya Martial, na ndio maana nakwambia hebu fatilia usajili wa Ighalo, Cavani na Ronaldo wote una 7bu zake, tena za msingi, Ighalo alikuwa Back up, Cavani tulimchukua baada ya kumkosa Halaand, Cr7 kasajiliwa ili asije akaenda kwa mahasimu wetu Man City, maana ilibaki kidogo aende ndio OGS na Ferguson na malegend wengine wakaingilia kati, narudia kukushauli fatilia mpira na ifatilie Man u vizur kuna vingi sana hauvijui kuhus Timu
 
hahahaha sasa hapo utasema OLE target yake ni Haaland?

Ukiangalia mpunga anaovuta lonardo na uliotumika kumsajiri, angeweza kuwalipa jamaa 70M Pounds na akamlipa mshahara wa 300k Pounds kwa wiki kwa miaka miwili.

OLE Hajui anataka nini.
Mkuu sijaelewa unamaana gani, kwamba CR7 tumepigwa auuu? Be specific.
 
hahahaha sasa hapo utasema OLE target yake ni Haaland?

Ukiangalia mpunga anaovuta lonardo na uliotumika kumsajiri, angeweza kuwalipa jamaa 70M Pounds na akamlipa mshahara wa 300k Pounds kwa wiki kwa miaka miwili.

OLE Hajui anataka nini.
Ndio maana nakwambia haujui vingi sasa watu walipeleka mpaka 130 kwa Halaand na wakakataliwa, na huyo Cr7 tumemchukua kwa 12 tu, na kibiashara kwa jezi alizouza teyar kashaingiza zaid ya 180 huko, hiko kipengele cha 70 kwa Halaand kinaanza kuwa active kuanzia Dirisha dogo la January
 
waoh waoh waoh.
Man U imemsajiri Lonardo ili asiende Man City? ili iweje? Unamaanisha focus ya Man U ni kwenye local competition tuu? Au this lonardo amekuwa anacheza Uchina all this while?
 
So January tunamfuata Haaland?
 
waoh waoh waoh.
Man U imemsajiri Lonardo ili asiende Man City? ili iweje? Unamaanisha focus ya Man U ni kwenye local competition tuu? Au this lonardo amekuwa anacheza Uchina all this while?
Hata kama tumesajili mchezaji ambaye hakuwa kwenye mipango ya kocha lkn c ana deliver? Kama hujui ni kwamba huyu huyu cr7 aliyesajiliwa bila ya kuwa kwenye mipango ya Ole ndiyo huyo huyo aliyesajiliwa bila ya kuwa kwenye mipango ya Ferguson.
 
yes indeed
baada ile mechi na sporting Lisbon ,giggs na wenzake walimwambia babu mchukue yule mtoto ronardo
ndio akasajiliwa
 
Hata kama tumesajili mchezaji ambaye hakuwa kwenye mipango ya kocha lkn c ana deliver? Kama hujui ni kwamba huyu huyu cr7 aliyesajiliwa bila ya kuwa kwenye mipango ya Ole ndiyo huyo huyo aliyesajiliwa bila ya kuwa kwenye mipango ya Ferguson.
Jamaa ana kaza kichwa sana, na anaonekana hafatilii mpira, maana hajui mambo mengi halaf analawama nying ambazo hazina mashiko
 
Klopp: "Am I happy that he [Ronaldo] is at United? No, I can't say that, it’s not true. Because he's too good? Yes, unfortunately."

manutd |
#GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…