OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahahaha hahahaRonaldo shoga
Mbona upo msimamo wa assist mkuu, mwisho wa msimu huwa wanapewa golden boot sawa na wafungaji boraRole ya Pogba kwenye assists tunaisahau sana.
Kungekuwa na msimamo wa assists, Pogba angekuwa anaongoza.
Angalieni hii takatakaanachofanyiwa chelsea na aston villa hakina tofauti na alichofaniwa totenham na crystal palace, except for goals so far.
Unajuaga wale watu wanazinduka usingizini halafu wanaandika kile kitu kinachowajia kichwani..ndo huyo sasaAnachekesha eehh
PoleLeo Newcastle anakuja kuwa aibisha
😂😂😂😂😂 Yaendelee kutema matee daahAnaweza asiuzwe ila tu asipewe airtime kubwa mana kuna Cavani, wacha wanaojua wacheze, haya matoto yenye masihara yakae yajifunze au yaendelee kutema mate yakiwa benchi.
Unajuaga wale watu wanazinduka usingizini halafu wanaandika kile kitu kinachowajia kichwani..ndo huyo sasa
U say??!!!!!!!!!!!Lukaku kajua kuzima kelele za Ronaldo leo tusingelala leo vizuri
Ulikuwa unastream text nini?anachofanyiwa chelsea na aston villa hakina tofauti na alichofaniwa totenham na crystal palace, except for goals so far.
Messi atazeeka haraka hatafikia umri wa CR7 akiwa fit vile.Cristiano au Lionel hawa wachezaji hata wawe na mguu mmoja na ikatokea nafasi ya kuwasajili siwezi kujifikiria mara mbili. Mchezaji ana uhakika wa kukupa goli 20 za ligi kuu kwa msimu unataka nini tena.
Kusema ukweli kwa sasa hivi tuna kikosi kizito sio mahaba hata kama kima yeyote yule awe anatuongoza goli 3 bila zinaweza kurudi dakika yoyote ile. Mchezo wa leo wachezaji walicheza kwa pressure kubwa kutoka kwa mashabiki ila wamejitajihidi kui-handle.
Ronaldo, Bruno, Pogba, Greenwood, Sancho, Varane, Maguire, Shaw, Cavani, Rashford - Haki ya nani Ole hana excuse msimu huu. EPL na FA haya makombe mawili kwangu mimi msimu huu ni non-negotiable ni lazima ababe la si hivyo atuachie timu.
mkuu hawa watu wawili sio wa kuwalinganisha hvyoMessi atazeeka haraka hatafikia umri wa CR7 akiwa fit vile.
CR7 atfunga 20+ goals hata akiwa 40
Kwa umri tunaweza kuwalinganisha ndg, kwa uchezaji sawa, kila mmoja anacheza style tofauti, ila kwenye kustaafu Messi atawahi kuliko Ronaldomkuu hawa watu wawili sio wa kuwalinganisha hvyo
PL kuna tuzo tatu zina rank mojaRole ya Pogba kwenye assists tunaisahau sana.
Kungekuwa na msimamo wa assists, Pogba angekuwa anaongoza.
100%Sasa mkuu hata kama tusingemsajili Ronaldo unadhani Ole alikuwa anafanya sajili nyingine?..jibu ni hapana.
Na Ronaldo akiwa hayupo kwa majeraha au uchovu tutatumia tuliokuwa tumepanga kuwatumia msimu huu bila yeye.
Tuache kuwa negative..kuna wachezaji wakusajiliwa hata kama ni kwa kukurupuka..Messi na Ronaldo ni mfano..PSG na sisi tulisajili wao watu respectively coz fursa ilitokea na kulikuwa hamna jinsi ya kujiuliza mara mbili.
Huyu Ronaldo anaenda kuwa Top scorer wa msimu huu..Mark my words.
anaongeza option au ndio the first option?Ronaldo anakuongezea options za kupata mabao mengi zaidi.
Hakuna timu duniani ingemkataa ronaldo.
Kwa msimu ronaldo ana uhakika wa kukupa goli 25+ .