Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu wa nne upi huo uliouhesabu wewe acha kua popoma kukisia mambo au usha uhesabu na huu msimu tiali we mbuzi
Mimi sio mbuzi ,mbuzi ni hiyo beberu mliyosajili et inakuja kuwapa makombe ,
GOAT =MBUZI
 
Hivi ole anaelewa hisabati kweli? au karopoka tu "99 times out of 100"?
Maana kama mpaka kocha anaweza kuamua kutumia statistics za uongo kwa ajiri ya kusisitiza umuhimu wa huyu Jamaa maana yake timu yetu iko imekalia a very big exposure.

Ole ni mtu muongo, alipokuja alikuwa anasema attack attack attack, baadae mpaka hivi karibuni sana akaanza kusema anajenga kikosi, akimaanisha mashabiki tuwe wavumilifu kwa sababu yuko kimkakati kutengeneza a team ambayo itakapoanza kudeliver, it will be a long ride of success, japo hakuwahi kusema tuwe wavumilivu kwa muda gani, lakini ki ukweli hakuna alichokisema anakitekeleza.

Kwa Mfano, attach attach attach.
Timu yetu ina wachezaji 31.
Makipa 3, Viungo 9, Mabeki 12 na Maforward 7.

Ikimaanisha phylosophy yetu ni kukaba tofauti na maelezo yake.

Kujenga Team.
Ghafla, anamtegemea mchezaji mzee mwenye mkataba wa miaka miwili kuleta vikombe, Yaani hata mashabiki tu tulikuwa kwa mwaka huu tuko prepared kuwa title contenders, with a keen eye to seeing we are cutting the points difference between us and the title winners, yeye kumpata Ronaldo anaanza kuzungumzia ubingwa.

Kiufupi usajiri wa cavan na ronaldo ni uthibitisho anazungumzia kujenga team kwa lengo la kulinda mshahara wake tu.
 
Una hasira sana kaa kwanza ndiyo tuzungumze.

Kumbe siku hizi timu ikiwa na mabeki wengi maana yake aina ya uchezaji wa hiyo timu ni kujilinda muda wote!

Ole alikuja kwenye hii timu akiwakuta wakina Jones, Dalot, Tuanzebe, Baily, Lindelof, Shaw. Hawa wote wengi siyo mahitaji ya Solskjaer na wengine baadhi hawauziki sokoni ulitegemea Ole afanye nini? Abaki na watu asiowahitaji, asinunue mabeki wapya kisa idadi itakuwa kubwa na kwa maana yako kuwa timu itakuwa ya kujilinda kama vile uwanjani wanaingia wote 12!

Lastly, Ole na mashabiki wote duniani wa Manchester United wanajua Ronaldo atakuwa chachu ya mafanikio yetu msimu huu kitu ambacho timu yetu ilikosa.

Rejea msimu Ajax wapo moto kwenye UCL walifika hatua ambayo ubora wao na uwezo wao kucheza havina msaada mbele ya kazi za wanaume. Last season Chelsea kabeba UCL kaangalie jinsi Silver alivyoleta kitu cha tofauti katika defense ya Chelsea, Man. City wangekuwa na yule Aguero wa miaka ile Chelsea alikuwa hatoki ila kazi waliachiwa wavulana na ikawashinda.

Last season 2020/21 tume-create big chances 55, tume-miss big chances 52, Ronaldo ana shoot on target per match 2.1. Unapata picha gani hapo?
 
Tatizo Lao game ya final ucl n kuanza hyo game bila holding midfielder Hata kama aguero angeanza hyo game ya UCL final wangelambwa Tu Mzee
 
We huna akili kabisa, kenge ww.
 
What I know Ole akishindwa kudeliver he will be fired on the 26th december, by that date if he is not fired then we will be title winner hopeful by a big margin.
 
"He’s [Ronaldo] played for the national team, he’s had a good week with us here. He’ll definitely be on the pitch at some point, that’s for sure."

- Ole Gunnar Solskjaer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…