Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fuentte
 
Lol! Antonio asilimia 50! Nina wasiwasi kama CR7 atacheza, na vile raia wamemnunua kwa fujo watalia na kusaga meno. Huyo Gray watu wanamnunua ili ku balance mahesabu.
Hahahah! Kama vile umepitia kikosi changu. Gray ana-balance mahesabu, pia form yake inaridhisha. Ila nshaanza kuona dalili za kuumia maana RONALDO kama vile hataanza halafu nimetumia Wildcard na kutoa watu kadhaa kama SON, INGS na TONEY ilimradi CR7 akae kwenye kikosi.
 
Son ungemuacha, Bruno ndio alifaa kuuza ili ufanye usajili wa cr7. Hiyo chip ya wildcard mbona mapema hivyo? Huyo Torres hamna kitu wiki hii, ongeza straika Lukaku
 
ushauri wangu mtoe ronaldo ucaptain maana ni mawili ulie sana asipoanza au ufurahi sana akianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…