ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Akipewa chance hatafanya mzaha tena nafikiri hata Shaw angezingua angepigwa bench tu.Atachangamkaje wakati atakuwa sio first choice for the most of the time?
Angechangamka sana kama angebakia kuwa first choice..Si unaona Telles kama sio mchezaji wetu vile hadi tunamsahau.
True,lakini hakuna kucheza 100% free ukiwa uwanjani..Mchezaji hatari man u ni Pogba kama ataachwa acheze free.
Scot overly underpaid
Phil Jones contract extension was dumb. He is a thief.
Sio kwa mahaba aliyo nayo Ole kwa wachezaji wa Uingereza.Akipewa chance hatafanya mzaha tena nafikiri hata Shaw angezingua angepigwa bench tu.
Hahahaa Phil Foden analipwa Pound 12k kwa wiki. Jack Grealish Pound 300k.Huo mshahara wa Martial apewe Greenwood na Martial apokee mshahara wa 42K na adhabu ya kufagia uwanja wa mazoezi na kuchoma taka moto kila siku
sababu ya kutokuwa na adequate coaching package.Kiukweli hamna uwezo wa kushinda makombe makubwa msimu huu