OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
"Sasa kama timu yenyewe ni matakataka kwa nini msilee takataka? Unajua takataka haikai sehemu safi au sahihi ..inakaa sehemu za ovyo kama jalalani, chooni, dampo hivyo hii timu ni takataka tosha mkuu. Hata fans wake ni takataka tupu.."hizi takataka tumezilea sana, natumai huyu dogo atapata kocha sahihi wa kumtengeneza
View attachment 1916634
Kwa hiyo Wolves ni tough team mkuu? Ngoja tukutane naye tutamla tatu..Hapana! Ni timu rahisi sana hizo.View attachment 1916430
Boss, unawafahamu vizuri Scousers?Liverpool walikuwa hawatambi na vihistoria vya ajabu Kama unavyomtetea navyo ole.
hii comment yako aione Joh DoeKama sijakosea,hii nnafasi imewekwa makusudi kabisa kwa ajili ya Declan Rice msimu ujao wa 2022/23
bado mzigo wenu aujaanza kucheza[emoji856]Huu ni mzigo kwa PSGView attachment 1916818
Sina hamu na waingereza mkuu na naona kama club hatukomi.....Sancho asipogangamala amaenda kuwa flopKama sijakosea,hii nnafasi imewekwa makusudi kabisa kwa ajili ya Declan Rice msimu ujao wa 2022/23
Kwa kumuweka kama potential untouched signing Kumbe Declan rice ni mzuri kuliko Ndidi na Calvin Philips?hii comment yako aione Joh Doe
both fred na mctominay wamekuwa wakilalamikiwa juu ya upungufu wao wa kusogeza timu mbele kupitia pasi zao, baadae tena unataka kumsajili declan rice.
Mungu atuepushie na hicho kikombe
Kichekesho Kama cha Mama j hiki!If Mbape is £160 milion worth, then Greenwood is worth £ 250 milion
Watu walisema Sancho ni tiba ya upande wa kulia.Sina hamu na waingereza mkuu na naona kama club hatukomi.....Sancho asipogangamala amaenda kuwa flop
Probably Fred amechoka sana na Copa America misimu miwili iliyopita hakuwa hovyo namna hii nachokiona sasa hivi hayuko form kabisa na kibaya zaidi partnership yake na Paul Pogba haijawahi kuzaa matundaWolves wanacheza jinsi tulivyopaswa kucheza sisi. Wolves hawakabi kwa macho, kitu wanakosa ni umakini kule mbele tu. Pia sisi defensively leo tumeonyesha kiwango kizuri. Varane mzee wa kazi ndiyo kitu tulihitaji.
Fred hakuna kitu anafanya, hafanyi kazi yake ipasavyo dimba la kati.
James ni yuleyule, atapata chance nzuri mara ghafla anakuwa kama hana macho.
Kwa ukosefu wa Scott ni heri Ole angeanza na VDB badala ya Pogba, Sancho kulia na Martial kushoto.
Kwasasa Cavani aingie, James atoke.