D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Hapo kwa ole tumepigwa wakubwaOle ni Jinga sana. Nasubiria afukuzwe tu
Mbwa kabisa huyu kocha.
Ni janga la kitaifa hili mkuu.Hapo kwa ole tumepigwa wakubwa
Mchezaji mzr anaonekana tu mapema haijalishi uzoefu wala nn.Ukitumia mentality kama hio usije ukalaumu mwanao kutoajiriwa pindi anapomaliza chuo mana ni kama unamaanisha wasio na uzoefu wasipewe nafasi.
Wachezaji kama hawa wanafanya Wolves wakiingia uwanjani kucheza na sisi waone ni kama wanacheza na Watford aua Leeds au Arsenal. Tunawafanya wajiamini sisi wenyewe.Kocha ameanza kumpa nafasi James wa championship, we ngoja kama hajamfukuzisha kazi.
Huyu DOF ameni-impress sana ktk kusajili naamini ana mkakati mzuri sana wa kuondoa vilaza pia. Ni swala la muda tu tutasafisha wajinga wajinga wengi sana pale. Cristiano akiwasha moto vichezaji vya hovyo vitakimbia vyenyewe vikiongozwa na Anthony Martial na Daniel James.Nachotaka kusema ni kwamba mtu akiwa below average na tumekaa nae kwa muda mrefu na analipwa hela ndefu hatupaswi kumfuga eti kisa depth..tunafagia na kuleta vipaji vipya.
Huyu muhuni tutakuwa tumelamba dume akija. Shughuli yake sio ya kitoto.Nasikia Ruben Nevez tunaweza tukambeba anytime.
88% pass accuracy
- Victor lindeloff amfundishe Rafael varane kupiga pasi ndefu, sidhani kama kuna pasi ndefu aliopiga ikamfikia mlengwa.
Tutakuja kuongea lugha moja baadae sana. Waingereza sio wachezaji wa kununua wanauzwa ghali mno kuliko uwezo halisi. Wana vipaji kweli ila wanabebeshwa mzigo wa price tag unaokuja na expectations kubwa sana kwa mashabiki kitu ambacho kinawaletea pressure za kufanya vizuri. Tuwe na sera ya kuwapandisha kama Mason Greenwood na Marcus Rashford.Mchezaji mzr anaonekana tu mapema haijalishi uzoefu wala nn.
Bado hajafukuzwa tuTutakuja kuongea lugha moja baadae sana. Waingereza sio wachezaji wa kununua wanauzwa ghali mno kuliko uwezo halisi. Wana vipaji kweli ila wanabebeshwa mzigo wa price tag unaokuja na expectations kubwa sana kwa mashabiki kitu ambacho kinawaletea pressure za kufanya vizuri. Tuwe na sera ya kuwapandisha kama Mason Greenwood na Marcus Rashford.
Huwa napinga wazi wazi usajili wa wachezaji kiingereza kwa ssb huwa wanauzwa bei kubwa sana kuliko wachezaji wa mataifa mengine wenye uwezo ule ule au kuwazidi. Hebu jaribu kufikiria muda tuliokuwa tunamtaka Jack Grealish tuliambiwa tulipe Pound 80M wakati huo huo Bruno alikuwa anapatikana kwa Pound 47M tu.
Niliandika pia kuhusu Pedro Goncalves yupo pale Sporting Lisbon ni kijana wa kireno mwenye miaka 23 amewaongoza Sporting Lisbon kubeba kombe la ligi kuu msimu ulioisha Ureno toka mwaka 2002. Na alikuwa mfungaji bora (23 goals) na mchezaji bora wa ligi pia. Huyu anacheza kama winga wa kushoto, kulia na nyuma ya mshambuliaji wa mwisho. Huyu bei yake ni Pound 51.7M. Just imagine angekuwa muingereza, bei yake inge-double.
Msimu huu ulioanza tayari kacheza mechi 4 kafunga goli 3 za ligi kuu ureno kuelekea international break.
Umenikumbusha mkasa wa arsenal na usajili wa goalkeeper, wamepigwa takribani paundi million 30Tutakuja kuongea lugha moja baadae sana. Waingereza sio wachezaji wa kununua wanauzwa ghali mno kuliko uwezo halisi. Wana vipaji kweli ila wanabebeshwa mzigo wa price tag unaokuja na expectations kubwa sana kwa mashabiki kitu ambacho kinawaletea pressure za kufanya vizuri. Tuwe na sera ya kuwapandisha kama Mason Greenwood na Marcus Rashford.
NaamNi janga la kitaifa hili mkuu.