Nimeanza kuangalia mechi ya liverpool na chelses leo kuanzia dak ya 28.
Mechi ya chelsea na man city (final UEFA) niliangalia yote.
Niliangalia mechi ya man city na leistercity yote
Nimeangalia mechi zote mbili za man utd.
Kwa kifupi ni kwamba timu yetu man utd hatuna kocha.
Yeye kazingua ila wewe umezingua zaidi😀😀Roho mbaya adi unashindwa kumtaja Tuchelacha wivu mkuu. Tuchel ndiye kocha bora kwa sasa hawa wengine bado sana
Inachoma kama pasi..Nimeanza kuangalia mechi ya liverpool na chelses leo kuanzia dak ya 28.
Mechi ya chelsea na man city (final UEFA) niliangalia yote.
Niliangalia mechi ya man city na leistercity yote
Nimeangalia mechi zote mbili za man utd.
Kwa kifupi ni kwamba timu yetu man utd hatuna kocha.
Bado sana!? Duuuu umeongea kama masau bwire!Roho mbaya adi unashindwa kumtaja Tuchelacha wivu mkuu. Tuchel ndiye kocha bora kwa sasa hawa wengine bado sana
Eh mzee we tulia uoneCr7 hatotumika inavyotakiwa kwa sababu kocha ni mbovu!
HahahahNimeanza kuangalia mechi ya liverpool na chelses leo kuanzia dak ya 28.
Mechi ya chelsea na man city (final UEFA) niliangalia yote.
Niliangalia mechi ya man city na leistercity yote
Nimeangalia mechi zote mbili za man utd.
Kwa kifupi ni kwamba timu yetu man utd hatuna kocha.
Hata hyo uliyoandika ni Kali...Mmm mbona hii kali
Sasa Umeumia nn MzeeNi kocha mzuri ila umeenda mbali kwa kumuita Master!
Halafu alikuwa analilia nafasi ya start 11.Dogo Brandon Williams kashachomesha huko Norwich..
Namkubali sana DalotEh tena
Sema bado dogo sana yule
Huku tuna bissaka. The man can't cross for shit
Leo ziko ngapi. Au zimestackndani ya robo saa likes za instagram kwenye page ya Man united inayocomfirm ronaldo karudi ina mil 2,129,555
Ukiwavhezesha wote kwa pamoja lazima timu iyumbe.Mabek wa timu pinzani hawatapanda kizembe
Sancho
Cavan
Rashford
Pogba
Bruno
Ronaldo
Unajitaka kweli???
History nzur. Kiniwa ninetolewa au kutoa bikira hiyo ni kumbukumbu nzur
Ha ha ha haEh mzee we tulia uone
Kama una namba ya ole mpigie kabisa mwambie CR7 ndo anguko lake man utd
Mchezaji quality kama yule akija klabuni kwako afu ni mtu ambaye ameprove anaweza kucheza kokote na kuleta mafanikio ndugu yangu kama wewe ni kocha ni jambo jema kama una mbinu na baya kama huna mbinu
Pochettino sahivi UEFA kila mtu anaona ni mali yake lakini watu wote hawajaangalia hata mechi moja ya wachezaji wote waliosajiliwa wakicheza pamoja ili kuona timu ikoje. we unahisi kwanini?? Katika mpira wachezaji wazuri waliokuwa na consistency mara nyingi wakienda club mpya mashabiki wanakua na mategemeo ambayo walikiwisha yaona hapo mwanzo kwa hao wachezaji kutoka former clubs
Sasa hivi kila mtu anagoja ronaldo atafanya nn pale na akishindwa kuscore lawama lazima zitaenda kwa ole tu..watu watatumia past experience kumjudge huyo coach na obviously ronaldo na ole man utd mkubwa ronaldo nmetype sana ila cha msingi ni hichi CR7 hataondoka man utd isipoleta mafanikio kabla ya ole sendeka kuondoka
Ole we are waiting for your move, eh aondoke tupumue sasa maana yule jamaa sijawahi kuchukia kocha kama yeye nlivomchukia
Mnaweza shangaa kesho namba tisa akakaa martial tena
Na nne phil jones afu namba kumi akamweka lingard
Sijui wanamfataga ofisini kulalamika mpaka anawaweka mm sijui kwa kweli
Bado yupoyupo Sana anangata na kupulizaBado hajafukuzwa tu