Wake zake kama kawaida...game over
dah! nimekubali ingawa roho inauma ... hongereni watani.......
Ahaa kumbe unaizungumzia ile chalii ya kutoka Norway! mpira bado haujaisha?
Hujazoea tu?
Kazi nzuri vijana wa Man Utd, afadhali sasa kesho tutakwenda maofisini na vijiweni bila makelele.
Heshima imerudi mjini na sasa ni mwendo mdundo kuelekea kuuchukua ubingwa.
Tulishawaambia arsenane wao ni wateja wetu lakini wakawa wanabisha.
Point 3 muhimu sasa tunatakiwa kuanza kugawa dozi
nimezoea kushinda kila game ....!!
dah! nimekubali ingawa roho inauma ... hongereni watani.......
denmark mkuu
Napenda mashabiki kama wewe...Hongereni wakuu.
nimezoea kushinda kila game ....!!
Hehehehe Nzi Leo umemtaja mtu ambaye nilijua duniani hayupo kaenda mars Kumbe mfarisayo yupo? Hongereni naona ule muda wa winter kutoa watu Jasho ndio mmeuanza soon na sie tutapotelea mars hehehe. Leo atarusha picha mpaka atapewa ban nilikuwa nakuona Nzi na belo tu wabishi Kama wale singasinga wa united.mfarisayo mwaga mapicha bana...
Tunaendelea kugonganisha vyupa. Ktk mechi 24 ambazo Arsenal wamecheza Trafford, wameshinda 3 tu. What a record.